- Sep 9, 2024
- 3
- 4
Hapana, TAWA ni Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzaniachama cha majoka? TAWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana, TAWA ni Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzaniachama cha majoka? TAWA?
Chati hana sumuHAINA SUMU?
Hahaha Hahaha Hahaha!!!! Yaani ni mishale ya saa 02:43 usiku mida hii, nimecheka hatari hadi watu wengine wameamka dadekiHahahahaa wale ngedere kama watu, wanaingia hadi vyumbani kuchukua vyakula mkiacha madirisha wazi.
Kuna siku moja tunakunywa chai kwenye vimbweta mikoba tumeweka pembeni ndegere mmoja akachukua walet ya mwenzetu akaondoka nayo. Yule dada alilia huku anamuomba " naomba nirudishie walet chukua hata maandazi haya"
Madogo wana date sana, kwenye vchaka mpaka chuo kimestukia diliTAARUFA HII IMEWACHOMA MNO WALE WAPENDAO KUFANYA MAHABA PORI.
Unaweza ukakuta principal ameanzisha guest house 🏡 yake maeneo yale kwa kutegemea kuwa wanachuo watakua wanaenda kujamiina kwenye guest house yake lakini badala yake wanachuo wameendelea kujamiiana porinini ndipo taarifa ya uwepo wa chatu ikazushwa ili kuwatishia wanachuo wasiendelee na mahaba pori badala yake waende guest house.Madogo wana date sana, kwenye vchaka mpaka chuo kimestukia dili
Nilishatoka pale mda sanaHuwa unapitishwapitisha eeeh?
Acha tuu mkuu ngedere wa UDSM wana mambo sana, anakuja kuchukua chakula chako hapo hapo hata hakuogopi tena hasa wasichana ndio wanatuonea kweliHahaha Hahaha Hahaha!!!! Yaani ni mishale ya saa 02:43 usiku mida hii, nimecheka hatari hadi watu wengine wameamka dadeki
Auliwe kwani ana kosa gani? Mbona porini ndo nyumbani au makazi yake halali?. Makosa yako kwa wanaoacha mapori kuzunguka makazi yao.Tupe mrejesho mkuu, aliuliwa au mpaka 2050?
Umeongea jambo la msingi mkuuAuliwe kwani ana kosa gani? Mbona porini ndo nyumbani au makazi yake halali?. Makosa yako kwa wanaoacha mapori kuzunguka makazi yao.
Hajawahi kukutongoza?Acha tuu mkuu ngedere wa UDSM wana mambo sana, anakuja kuchukua chakula chako hapo hapo hata hakuogopi tena hasa wasichana ndio wanatuonea kweli
Ngedere na kutongoza tena??Hajawahi kukutongoza?
Ndo maana yake kwani nyani wa rombo hajasikia walivyokuwa nanwanchaka mbususu za watu.Ngedere na kutongoza tena??