Mtoboa siri
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 214
- 804
Hebu sikilizeni hawa wazee wetu walipotukanya kuwa makini na Chatu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii nimeipenda bure.Hebu sikilizeni hawa wazee wetu walipotukanya kuwa makini na Chatu.
View attachment 3172783
UJITANI KWETU chatu anachapwa viboko kwa kutumia fimbo nyembamba,anachapwa vya kutosha baadae anahamishwa kutoka karibu na makazi ya watu au machungio ya mifugo na kupelekwa porini.Ni kweli watu wa Dasilamu wanashangaza kama sio wanasikitisha kwa vituko vyao.
Laiti wangelifika huku Umasain ndani ndani huku wajionee jinsi chatu anavyodharaulika na hakuna mtu anahangaika naye ila tunakwepesha kuchunga mbuzi na kondoo eneo hilo au kwenda na mbwa mahali hapo kwani mbwa lazima atajipeleka mwenyewe kwa chatu na aliwe kiulaiiiini. Ukisikia mara moja tuu kwii-kwiiiii. Ujue huyo mbwa imeenda.
kabisa, usijekuta kuna first year kaja nae, usiku anabadilika anakuwa mamake mchana chatuHuyo Chatu kaja na mwanafunzi wa first year.
Ila watu wa Dar waoga sana, huku Tukuyu tunaishi hao hao chatu hawana madhara
😃😃😃 wengi wasomea kufaulu mitihani .Najaribu kupata picha ya Itakavyokuwa hao vijana wa W/Pori (Game officers) kizazi cha Dotcom watakavyojipanga kumsogelea huyo chatu ilhali wao wenyewe hata kumshika kinyonga ni mtihani- ni waoga mno kupita maelezo.
Ngoja nimwite Mtani wangu awasaidie ila wasisahau "kitu kidogo" kama shukrani.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kabisa, usijekuta kuna first year kaja nae, usiku anabadilika anakuwa mamake mchana chatu
Ndio maana ameenda kujisajili UDSM apate degree, mkuu (joke)! 🤣Huyo chatu akili hana..
ziukatusaidie kumwondoa chatuHongera sana. Mimi nilisoma chuo cha nyuki Tabora.
Imeleta taharuki kubwa kwenye jumuiya nzima ya wazinziTAARUFA HII IMEWACHOMA MNO WALE WAPENDAO KUFANYA MAHABA PORI.
Hawa wanyama wanaozurura kwenye makazi ya watu ukiwagusa tu utaona mbio za mamlaka ya wanyama pori watakavyokuja haraka, ila hao wanyama wakijeruhi watu watakuja kwa kuchelewa. Wanadai mishahara yao inatokana na uwepo wa wanyama hao na wana thamani kubwa kuliko mtu!
Umenikumbusha mbali sana. Kule Arusha tulikuwa tunaambiwaga kwenye chanzo cha maji kuna chatu. Tulikuwa hatusogelei kabisa.Uongozi wa udsm utakuwa umeona dalili za uharibifu wa mazingira katika maeneo hayo,sasa wameona labda watumie mbinu hii ya kuwepo kwa huyo kiumbe maeneo hayo ili kuwatia jamba jamba waharibifu wa mazingira .Otherwise mbinu kama hizi ndio zilisaidia miaka ya nyuma watu kuto kuharibu mazingira,kama misitu na vyazo vya maji . Maana haingii akilini yaani watu ambao ni wasomi ,wanaotegemewa kama kisima cha maarifa nchini waaze kulilia kulilia kwamba kuna huyo kiumbe maeneo hayo, kama wanajua ni hatari maeneo hayo si watoe taarifa mamlaka husika waje wamtafute na wamtoe hapo , au wale ambao wanasomea mambo ya kemia watengeneze kemikali kumnasa au ndio mnaiomba serikali kiana iwaletee wazungu kutoka south Africa au Marekani ili ije imnase , kwa maoni yangu hii ndio furusa ya kudhihirisha quality of education how to deal with any challenge.
Wanafunzi wa UDSM wanatamani hata MamaSamia2025 awaogozee hela kwa ajili ya kwenda Gesti kwenda kujamiiana maana kuwepo kwa joka lile mahala pale tayari ni pigo kwa wapenda mahaba pori.Imeleta taharuki kubwa kwenye jumuiya nzima ya wazinzi
Ooooh Chatu eeeeh, fimbo usimtupie...utaukosa ushindi.....msimcheze chatu
Huwa unapitishwapitisha eeeh?Na UD kuna mapori haswaa, khaaaah
HAINA SUMU?Nyama yake ni asusa nzuri sana hasa ukiichoma, nanjilinji anaijua hiyo