Uongozi wa UDSM watoa angalizo uwepo wa CHATU maeneo ya Shule ya Msingi Mlimani

Hahaha Hahaha Hahaha!!!! Yaani ni mishale ya saa 02:43 usiku mida hii, nimecheka hatari hadi watu wengine wameamka dadeki
 
Madogo wana date sana, kwenye vchaka mpaka chuo kimestukia dili
Unaweza ukakuta principal ameanzisha guest house 🏡 yake maeneo yale kwa kutegemea kuwa wanachuo watakua wanaenda kujamiina kwenye guest house yake lakini badala yake wanachuo wameendelea kujamiiana porinini ndipo taarifa ya uwepo wa chatu ikazushwa ili kuwatishia wanachuo wasiendelee na mahaba pori badala yake waende guest house.
 
Hao wanafunzi hapo mlimani wahakikishe muda ote wamevaa helmet na wameshusha vioo
 
CCM haitaki mapori yawe matupu ndio maana imeona itumie mapori hayo kufuga walau majoka ili yawang'ate watanzania hata home kwako usipokuwa na utaratibu wa kukata majani CCM watatafuta vitoto vya koboko na kuvimwaga humo
 
Hahaha Hahaha Hahaha!!!! Yaani ni mishale ya saa 02:43 usiku mida hii, nimecheka hatari hadi watu wengine wameamka dadeki
Acha tuu mkuu ngedere wa UDSM wana mambo sana, anakuja kuchukua chakula chako hapo hapo hata hakuogopi tena hasa wasichana ndio wanatuonea kweli
 
Kumbe Dar bado kuna sehemu kuna mapori yenye hatari, tena mjini.... lol hii ni aibu kabisa..


Mapori inawezekana kabisa yasiharibiwe lakini kwa kua hili ni jiji basi ni budi kuyaweka vizuri kiusalama ikiwemo kupoga fumigation ya kutosha kuua wanyama hatari au kuwafukuza. Ni aibu mtu aking'atwa na nyoka jijini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…