comrade igwe
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 7,295
- 3,950
Hapana mkuu changia kidogo tujifute macho, lakini usileteze kama kambale mkuuNatamani nichangie kitu katika uzii huu ili jiwatoe watu tongotongo lakini nahisi nitavuka mipaka.So ngoja nibaki msomaji tu.
Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!
Unaweza tumwa Ukafanye misheni flani Kubwa sanaa ambayo Inabdi iwee siriii... Unaweza maliza kiroho safii lakini akatumwa mtu ajee Kukumaliza na wew lakini hata ambiwa sababu ya kukua wew... NA HUWA HAWAJUANII WENGI WAOOOO...!!
Haa ha... Usalama wa taifaaa si mchezoo..!! Yani usalama wa taifa anaweza kuwa Mwanajeshi...akaigiza ukichaaa...mvutaa bhangiii..Jambazii..ili mradi afanikishe jambo alilotumwaaHaaa kwahiyo ukitumwa hiyo unayoiita misheni sijui, unatakiwa uwe muangalifu ukimaliza aiseee mambo gani sasa hayo aaah ningalikuwii kunyumba ne mbwitu haaaa
Haa ha... Usalama wa taifaaa si mchezoo..!! Yani usalama wa taifa anaweza kuwa Mwanajeshi...akaigiza ukichaaa...mvutaa bhangiii..Jambazii..ili mradi afanikishe jambo alilotumwaa
Mkorofi kivip sasa nimesema ukweli?We mkorofi ujue.
[emoji40] [emoji40] [emoji108]Inashangaza kuna watu wanataka information ya chombo. Dude halina kichwa wala miguu hata waliomo walijua kwa upande alionao. Hakuna information humu tupigeni story tu za ki novel (esp spy novels)
Inashangaza kuna watu wanataka information ya chombo. Dude halina kichwa wala miguu hata waliomo walijua kwa upande alionao. Hakuna information humu tupigeni story tu za ki novel (esp spy novels)
Kuvijadili vitu kama hivi inabidi ujitoe ufahamu kwa kiwango kikubwa sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji16][emoji16][emoji16]mimi nafurahi sana maana watu wanaadika wasivyovijua.
watu wanajipinda balaa kuelezea ila,
lla kila mtu anafanya yake.
Acha uongo, labda unazungumzia TISS ule mfumo wa benk kuu ,Vijana wanapenda sana hiyo kazi ya TISS lakini hawaijui vizuri,Kuwa TISS hauishi kwa amani,inabidi 24 hrs uwe Clean,24hrs monitored,ukifanya jambo ambalo linaweza kuhatarisha majukumu yako wanakula KICHWA,Tutakukuta Kwenye Kisima Umekufa au Mtaroni umepigwa risasi au kupigwa Polonium 210 ufe taratibu....Achaneni na mawazo ya kuwa TISS ndio deal,Enzi za nyuma walikuwa wanatumia kivuli cha TISS kula rushwa ila sasa wanapigika tu maana Ngosha na yeye ana watu wake wanaangalia mienendo yao hivyo nao wanaogopa...TISS tunakaa nao mitaani yaani nanga inapaa full kupigika.
Mkuu tupe ukweli basiAcha uongo, labda unazungumzia TISS ule mfumo wa benk kuu ,
Mkuu hapo kwenye bold ulimaanisha SYMBOLOGY au ni Symbiology kama ulivyoandika?( Watu Wa Symbiology Mnaelewa) Techniques Ambazo Zilitumika Miaka Ya Nyuma Kufanya Ujumbe Uwe Wa Siri Na Ikitokea Mtu Asiyehusika Akaupata Asiweze Kuelewa.
.
Tambua kuwa hao ni maaskari au walinzi wa amani maslahi yao hayapishani sana kunatofauti tu za hapa na paleVipi upande wa maslahi TISS&Jwtz
{ }
Ngumbaru wa kinyarwandaNgoja nitafute kabisa Popcorns na Kinywaji baridi nikae nione jinsi ' Wajuvi ' wa haya mambo aliyoyaleta Mleta mada / uzi watakavyotiririka na kuserereka ili hata Mimi ' Ngumbaru ' niweze kujua a,b,c's za hii Taasisi ' Tishio ' ndani na nje ya Tanzania.
Kuna yule aliyeaandamanaga peke yake kipindi cha kupandisha bumu. Niliambiwa naye alipata nafasi huko huko ni kweli au zilikuwa story. Hwever ukiwa ktk jamii za vyuo kuwajua jamaa ni rahisi sana. Hawamalizagi vyuo na wakolamliza wanpata kazi maeneo hayo hayo....ndio wewe nini?
ndio huyo huyo aliyekuwa anajifany kibarua magufuli hostel....alivyokuwa anakuj magu alikuwa pemben pembn.
Ukikataa nao wanakukataa hawana cha kupotezaHivi wakitaka kunirecruit halafu nikakataa inakuaje?
Ayo mawazo yake ndiyo jibuNimejibiwa na mtu aliesema ni mawazo yake. Labda wajuvi watakuja na jibu sahihi zaidi.
Story tu hizo,Tanzania kila mtu akinunua miwani yenye rangi nyeusi anajiita mtu wa kitengoKwa tetesi zisizo rasmi ni kwamba 90% ya wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalma ni watu kutoka TISS undercover hii ni pamoja na wakuu wa vitengo ndani vyombo hivyo ndo maana TISS wanabki kuwa regulator wa kila jambo hata kuamua nani awe president wa nchi