Upande wa pili wa usalama wa Taifa ukoje?

Kuwa makini.
 

Lakini mara nyingine TISS haiwezi kushughulikia maadui wa taifa bila kuwahusisha TPDF @ JWTZ, Kuna matukio mengi ya kihatari ambayo yanakuwa militaristic sana na TISS hawawezi kuyamaliza wenyewe. Inahitaji ukusanywaji wa taarifa na mikakati ya kijeshi ili kuweza kukamilisha kazi kwa ufanisi wa hali ya juu sana.

Kikubwa zaidi ni kwamba TISS ina mkono mrefu sana kuliko TPDF @ JWTZ,
Kwasababu ni CIVILIAN INTELLIGENCE na inahusika na raia kwa moja kwa moja. TPDF @ JWTZ Jurisdiction yao iko very limited kwasababu wao ni Purely Military tofauti kabisa na TISS.

Japo sasa,
Majasusi wengi wa TISS ambao ni heavy duty wanatokea JWTZ.
Kwasababu mfano tu, mwanajeshi Special Forces (Marine) anakuwa na uwezo mkubwa sana wa kufanya kazi za kijasusi wa kijeshi kama Reconnaissance, Kutegua mabomu, kuchambua na kutafsiri mikakati ya kijeshi ya nchi za adui kuliko jasusi ambaye yuko uraini kila siku . Kikubwa ambacho jasusi wa TISS atamshinda huyu Jasusi aliyetoka jeshi ni "Broad Mind" kwasababu mwisho wa siku kila taarifa za kijasusi ziwe za Kijeshi au Kiraia (Raw Intelligence) ni lazima ichakatwe (Processed) kwa ajili ya matumizi ya Kiutawala(Civilian Administrative Purposes). Wanaochakata ni Analysts ambao ni Think Tanks kutokea TISS kwasababu wanakuwa na mtazamo wa kiraia... ..Hili ndilo linawafanya TISS wawe hatua kumi mbele ya JWTZ @ TPDF kama taasisi.

NB 1: TISS wanafanya kazi bampa tu bampa na JWTZ kwasababu Its the duty of the TISS to make sure the army behaves and remains royal to the government and the state at by and large......!!!! Hivyo contractors wengine wa TISS wanakuwa ni wanajeshi katika asilimia 100% na maisha yao yote ni kwenye Barracks za kule Lugalo au Ngerengere.

Tuseme ukweli,
TISS na JWTZ ni mapacha wasiofanana (Fraternal Twins)
Hakuna anayeweza kufanya kazi bila kumtegemea mwenzake.
TISS IMARA=JWTZ IMARA..........

NB 2: Tusisahau pia kwamba JWTZ nao wana kitengo chao cha Intelijensia.
MILITARY INTELLIGENCE nacho kinafanya kazi na oparesheni kubwa sana za kijeshi.
Kazi yake ni kushughulikia maadui wa taifa covertly/clandestinely ambao ni purely Militaristic or paramilitary in nature........
 
Ngoja nitafute kabisa Popcorns na Kinywaji baridi nikae nione jinsi ' Wajuvi ' wa haya mambo aliyoyaleta Mleta mada / uzi watakavyotiririka na kuserereka ili hata Mimi ' Ngumbaru ' niweze kujua a,b,c's za hii Taasisi ' Tishio ' ndani na nje ya Tanzania.
 
Tatizo jf unaruhusiwa tu kutoa like moja ingekuwa zaidi ya moja ningekupa zote kwa uchambuzi mzri
 
Unachosema ni dhahiri mkuu.Kuna baadhi ya watu katika idara nyeti za umma wanapenda kushare baadhi ya vitu vya maofisini as a way to release their grievancies lakini ni busara ya kawaida kuhakikisha haujadili kitu ambacho ni siri ya ofisi/wewe binafsi.Kukaa kimya kwa masuala nyeti ya nchi hasa ya usalama ni UZALENDO pia.So guys tuwe makini
 
Kama hujui majukumu ya TPDF ni bora ukae kimya kuliko kuwadanganya wasomaji, TPDF ina majukumu mengi sana kuliko unavyofikilia kwenye ubongo wako, katika idadi ya vyombo vya ulinzi na usalama tulivyo navyo TPDF ni chombo cha juuu,
mkuu show respect kwa Bazazi ,usimchukulie poa sana ,namjua JF tangu 2009 ana nondo za ukweli hatemi pumba labda akiwa kule jukwaa lake chini ndio akili zake zinashuka kwenye zipu..anakamsemo kakeee "Security is Absence of Threats to Acquired and Perceived Values"
muulize Mlalahoi anamjua vizuri
 
Huna cha kusema hapa?
 

Hiyo kwa kiingereza yaitwa kuwa "discreet", yaani kuwa mwangalifu kwa kila uongeacho au kukifanya ili kuweza kulinda siri na heshima ya taasisi.

TISS ilivurugwa kwa miaka kadhaa pre JPM, pale walipoingia wale wasostahili na zoezi la uhakiki linafanyika.

Mchujo waendelea na wanatemwa wengi.
 

Mkuu naona uko kwenye eneo la tukio.

Kama vile uko ndani ya lecture room.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Mkuu naona uko kwenye eneo la tukio.

Kama vile uko ndani ya lecture room.πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Ndio hivyo tu shetani huwa haruhusu watu wenye akili 100.% kuwa leaders!

Naweza nikakusoma kwa mbali unamaisha Fulani ambayo niyakawaida na wala huwezi kushika hatamu yeyote kwa sababu umebeba kitu hatari sana!

Unauwezo mkubwa wa kuchambua na kama serikari ikijua inawatu kama ninyi wale wakina bash.....e wote wangekuwa wakulima tu!

Big up broh! Nimekusoma fresh
 

Ahsante mkuu kwa kunisoma.

Ila mimi kiukweli huwa napenda tu kusomasoma mambo mengi yananisaidia sana kuufahamu ulimwengu na watu wake.

Ila uongozi tulo nao hii ni zama zake na utapita na utakuja uongozi mwingine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…