Mtu smart kichwani akiwa tishio njia sahihi ya ku-deal nae ni kukubali kakushinda.
 
Wiki iliyopita niliota naona ndege ilipotea njia yake ikashindwa kutua na kusababisha maafa . Ilikuwa inatokea ulaya na nilivyokuwa naitafakari ndoto hiyo asubuhi yake nikagundua Bi tozo alikuwa bado hajarudi kutoka korea. Nikataka nipost humu kukumbusha marubani watakao endesha ndege atakayopanda rais siku ya kurudi Tanzania wahakikishe wameamka vizuri na wana utimamu wa akili lakini nikasita nikajua ni ndoto tu inaweza isiwe na maana .

Niliikemea ndoto hiyo isiwe kweli . Isije kutokea vifo vya marais wawili mfululizo wakiwa madarakani kwa Tanzania. Bi tozo simpendi lakini ni bora aondolewe madarakani kwa kura 2025 , siyo kifo . Na siku iliyofuatia baada ya kuota ndoto hiyo , nikasikia Bi tozo amerudi na amefika salama .

Leo nasikia ndege iliyo mbeba makamu wa rais wa malawi imepotea .
 
Ndege ya Jeshi la Ulinzi la Malawi iliyokuwa imembeba Makamu wa Rais wa nchi hiyo, Saulos Chilima na wengine tisa imetoweka baada ya kuondoka Mji mkuu, Lilongwe asubuhi ya leo.

Rais wa Malawi, Lazarus Chakwera ameamuru operesheni ya utafutaji na uokoaji baada ya maafisa wa anga kushindwa kuwasiliana na ndege hiyo.

Swahili times
 
Attachments

  • IMG-20240610-WA0051.jpg
    225.2 KB · Views: 2
Wiki iliyopita niliota naona ndege ilipotea njia yake ikashindwa kutua na kusababisha maafa . Ilikuwa inatokea ulaya na nilivyokuwa naitafakari ndoto hiyo asubuhi yake nikagundua Bi tozo alikuwa bado hajarudi kutoka korea. Nikataka nipost humu kukumbusha marubani watakao endesha ndege atakayopanda rais siku ya kurudi Tanzania wahakikishe wameamka vizuri na wana utimamu wa akili lakini nikasita nikajua ni ndoto tu inaweza isiwe na maana .

Niliikemea ndoto hiyo isiwe kweli . Isije kutokea vifo vya marais wawili mfululizo wakiwa madarakani kwa Tanzania. Bi tozo simpendi lakini ni bora aondolewe madarakani kwa kura 2025 , siyo kifo . Na siku iliyofuatia baada ya kuota ndoto hiyo , nikasikia Bi tozo amerudi na amefika salama .

Leo nasikia ndege iliyo mbeba makamu wa rais wa malawi imepotea .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…