Eti Bi Tozo. Huyo ni rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi yote nchini. Put some respec on her name please!

➡️➡️➡️ Kwani amesharudi kutoka Korea? Hapaswi kuwa na wasiwasi maana naamini hana maadui wengi wa kuweza kumhujumu kama ilivyokuwa kwa mtangulizi wake ambaye alidhani kuwa kutosafiri ndiyo kungemsaidia...

Ila akubali katiba ibadilishwe - na kile kipengele cha Makamu wa Rais kuwa rais automatically baada ya rais kufariki akiwa madarakani kiondolewe haraka. Katiba mpya iseme kuwa ikitokea rais akafia madarakani basi makamu wake atakaimu nafasi hiyo kwa miezi mitatu ambapo uchaguzi mkuu utafanyika; na atakayeshinda ndiyo awe rais. Vinginevyo mh!!!
 
Tuna Cha kujifunza hapa
 
Katika makubaliano waliyoingia huyu Rais wa sasa Chakwera na Huyo makamu wa Rais Chilima ni kwamba miaka 5 ataongoza Rais Chakwera na miaka 5 itakayobaki itakua ya Makamu wa Fais Chilima.
Kumbukeni Rais na makamu wake wanatoka vyama tofauti ila waliungana ili wakiondoe chama tawala cha Rais wa zamani aitwae muthalika.
 
Kwa Lugha ya Kinjagu ( Kijasusi ) hapa tunafupisha tu na kusema Mission Accomplished na sasa Boss Mkuu atapumua.
 
Ni kama Malaysian airline 7 iliyopotea miaka ya hivi karibuni na mabaki kutoonekana , hiyo ndege imetoka kwenye dimension tuliopo .
Universe ni kubwa kuliko upeo wa akili yetu .
Imeingia katika ulimwengu usionekana kwa macho ya mwanadamu .
Wale waliowahi kusoma issues za time travel wataelewa nilichoandika , Kuna kisa kiliwahi tokea cha ndege kupotea na kuja kuonekana miaka mingi baadaye na wale abiria wala hawakuwa wamezeeka .
Ni vitu vya ajabu mno na vimetokea visa vingi vya kupotea hata kwa meli kule Bermuda triangle Marekani na maeneo mengine duniani


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…