Kazakh destroyer
JF-Expert Member
- Nov 16, 2017
- 3,278
- 6,843
Kusema ukweli huko kuna loopholes nyingi sana za kudanganywa maana watu wanategemea miujiza.Hao walikosa uelewa tu,kukutana na Yesu sio lazima ufunge
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kusema ukweli huko kuna loopholes nyingi sana za kudanganywa maana watu wanategemea miujiza.Hao walikosa uelewa tu,kukutana na Yesu sio lazima ufunge
Alisema anae taka sio tunaetaka kwenda mbinguniIla kuna wakati unawaza huyu baba mchungaji alikusudia nini!? Yaani alikuwa ananufaikaje na vifo vya hawa waumini wake!?? Halafu yeye baba mchungaji alikuwa hataki kwenda mbinguni? Maana yeye mpaka amekamatwa na police alikuwa hajafunga!
Unataka kuniaminish kuwa uislam ni akili?UKRISTO ni UJINGA
Karibu mkuu uliza swali lolote au utata wowote nitakufafanulia kwa kadri ya maarifa yangu na nisichokijua nitasema sifahamu.Unataka kuniaminish kuwa uislam ni akili?
Natamani kuhamia huko.
You've nailed it.We ndio mjinga na mbaya.
Imani yako imekulisha sumu mbaya sana ya chuki ndio maana uka ambiwa kwamba imani ni mbaya.
Na wewe mwenyewe ndio mfano dhahiri wa ubaya wa imani.
Una mwita mwenzako "Kafiri" na kuita imani za wengine "Ukafiri" kwa vile hazi endani na imani yako ya dini yako.
Hivyo hapa una sambaza Chuki dhidi ya imani za wengine kutetea imani yako.
Imani ni kitu kibaya sana.
waislamu bana [emoji38][emoji38][emoji38]Wakristo bana
Inatisha...huyu tapeli wa imani kaangamiza wengi sana, elimu ndogo miongoni mwa waumini imechangia hili janga.UPDATE: Miili zaidi imefukuliwa katika Makaburi yanayohusishwa na 'ibada ya njaa', na kufanya jumla ya vifo kufikia 83, huku idadi hiyo ikitarajiwa kuongezeka
-
Polisi wamekuwa wakizunguka msitu wa #Shakahola kwa takriban Siku 4 baada ya kupokea taarifa kuhusu dhehebu linaloongozwa na #PaulMackenzie Nthenge, ambaye aliwataka wafuasi wake kufa njaa ili kumtafuta Mungu
.............................................
Idadi ya maiti zilizotolewa katika msitu wa Shakahola zimeongezeka na kufikia 59, kufuatia kufukuliwa kwa miili kumi na nane kutoka kwenye makaburi 7 siku ya Jumapili, huku wapelelezi wakiwa bado hawajachimba zaidi ya makaburi 50 na idadi ya walio hai bado haijajulikana.
Familia za wanaotafuta ndugu zao waliotoweka kwa zaidi ya miaka 3 zimeitaka serikali kuweka mkazo zaidi katika kuwasaka wale ambao bado wamejificha ndani ya msitu wa Shakahola na hawataki kuokolewa wakati maafisa wa upelelezi wakiendelea kufukua makaburi mengine.
View attachment 2597010
Uchunguzi wa tukio hilo umeanza Nchini Kenya ikiwa ni pamoja na kumkamata Mchungaji aliyewataka Waumini wa Kanisa la Good News International wasile chakula ili wafe kwasababu ndio njia pekee ya kufika Mbinguni.
Mapema Wiki hii, Polisi walifanikiwa kuwanusuru Waumini 15 wakiwa hai, Wanne kati yao walifariki njiani wakati wakipelekwa Hospitali na baada ya Uchunguzi zaidi wamebaini Makaburi 32 yanayodaiwa kuzikwa baadhi ya Waumini.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kituo cha Runinga cha NTV, Polisi imeeleza huenda uchunguzi unaoendelea ukafanikisha kupatikana Miili mingine zaidi kutoka katika Makaburi yaliyopo Malindi jirani na Msitu wa Shakahola.
====
Police began investigations amid reports that cult followers believed they would go to heaven if they starved to death.
Kenyan police have exhumed human remains from more than a dozen suspected graves in the east of the country amid an investigation into followers of a Christian cult who believed they would go to heaven if they starved themselves to death.
Police began exhuming bodies on Friday, said Charles Kamau, a detective in the town of Malindi near the Shakahola forest in Kilifi county, where police rescued 15 members of the Good News International Church last week, according to footage broadcast by Citizen TV.
Unnamed police sources told the AFP news agency on Saturday that 21 bodies had been found so far and that more could yet be uncovered.
“In total since yesterday, we have 21 bodies,” a police source told AFP on condition of anonymity, referring to exhumations in the Shakahola forest outside the coastal town of Malindi.
“We have not even scratched the surface which gives a clear indication that we are likely to get more bodies by the end of this exercise,” the source added. A second police source confirmed the same toll, also on condition of anonymity, AFP reported.
Kenya’s NTV channel reported on Saturday that seven bodies had been removed from two of 32 suspected gravesites marked out by police.
AL JAZEERA
Unapigania kwenda jehannam!Wakristo mara nyingi hawana akili, vichaa na wengi wao ni machizi yaani kiujumla wakristo ni dini ya laana bora freemason kuliko hii dini ya machizi na siku ya mwisho ni kuni za motoni
Sahihi kabisa....Miaka mitatu iliyopita, ni mingi mno, serikali pia ilaumiwe
Wanatofauti Gani na waumini wa zumaridiWamefika watu 83
Zaidi ya watu 200 hawajulikani walipo.
Eneo ni Ekari 50000
Hivyo bado polisi wanaendelea fatilia
Waliokamatwa hai wamegoma kula wamesema lazima wafe ili waende mbinguni
Hawajafikia kufaWanatofauti Gani na waumini wa zumaridi