Mkuu yesu hana ukuu zaidi ya ule aliopewa na yule aliyemuumba na yeye alikuja kwaajili ya kuwatoa wana wa israeli kutoka kwenye giza la ushirikina na ujinga na kuwapeleka kwenye nuru ya tawhidi na elimu, wala yesu hakutumwa kwako wewe mkuu
econonist wala wenzako, yeye alitumwa kwa wana wa israeli peke yao, kama alivyotumwa musa alayhi ssalaam na ndio maana yeye alikuja kuyathibitisha zaidi mafundisho ya torati, nyinyi wa matumbi wenzetu na torati wapi na wapi?.
"
Na atamfundisha kuandika na hekima na taurati na injili."
"na ni mtume kwa wana wa israeli.........."
Qur'an 3:48-49
Huyu si mtume wenu wakuu wala mafundisho yake si haya mnayoishi nayo nyinyi leo hii, maana yeye katu hakuwaeleza wanafunzi wake wamtukuze na kumfanya njia na uzima ya kumfikia allah, bali kumfanya yeye ndie mkuu na mwenye utukufu kuliko yule aliyemtuma, bali kibaya zaidi kumfanya ni sehemu ya nafsi 3 za muumbaji, sasa nyinyi ndugu zangu vipi mnapotezwa?.
Secondly, yesu hakuwa isipokuwa mwanadamu tu kama mimi na wewe isipokuwa yeye ni mtume miongoni mwa mitume na muujiza miongoni mwa miujiza ya mola wetu aliyetuumba, sasa vipi jina la muumbaji lisiwe kuu zaidi kisha nibanwe kwenye kona nikumbuke jina la mtume miongoni mwa mitume waliotangulia miaka 2000+ iliyopita? hii itakuwa akili timilifu?.