Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83
Ila kuna wakati unawaza huyu baba mchungaji alikusudia nini!? Yaani alikuwa ananufaikaje na vifo vya hawa waumini wake!?? Halafu yeye baba mchungaji alikuwa hataki kwenda mbinguni? Maana yeye mpaka amekamatwa na police alikuwa hajafunga!

Viongozi wengi wa Cult wapo hivyo, huwaua waumini wao. Kwa mfano Jim Jones aliua waumini wake wote kwa sumu yeye alikuja kujiua baadae baada ya kuhakikisha waumini wake wote wamekufa.
 
Wakristo mara nyingi hawana akili, vichaa na wengi wao ni machizi yaani kiujumla wakristo ni dini ya laana bora freemason kuliko hii dini ya machizi na siku ya mwisho ni kuni za motoni

Mbona una hasira na wakristo hivyo?. Ukiingia kwenye ukristo ndio utajua kuwa kuna cults na Christianity. Hai waliokufa ni cults sio christians. Ndio maana Biblia inasema sio wote waniitao bwana wataingia mbinguni. Sio kila kanisa ni la kikristo.
 
Dah yni hpa sipati picha wangekua Waislamu hawa watu thread ingekua ishafika 1K ila kwakua ni wao kwa wao tuwaache wafu wazike wafu wenzao

Tatizo mnalazimisha matapeli kuwa ni wakristo. Mtu kaamua kutoa kafara wajinga wachache mnamwita mchungaji. Be serious.
 
Tatizo mnalazimisha matapeli kuwa ni wakristo. Mtu kaamua kutoa kafara wajinga wachache mnamwita mchungaji. Be serious.
Aisee mm wapi nimemwita mchungaji?

Kwani si wao wenyewe uko kenya ndo walomwita ivo sasa mm unanilaumu kwa lipi aisee

Kwani ni mara ya kwanza waumini wa kikristo kuuliwa kma ivo?

Be more serious
 
Hili uwe mkiristo kwanza ujitoe akili kwa muda mfano kwenye biblia kuna kulasa zinazo elezea kuzaliwa kwa yesu na ukoo wamama yake na makuzi yake maisha yake kwa jumla alafu heti mtu kabeba kitabu hicho kwapani kila aendako alafu heti mchungaji ana mwambia yesu ndie Mungu mkuu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] tangu lini Mungu akavaa nepi?

Endelea kukufuru, maana bado una neema. Ila hujui ukuu wa jina la Yesu Kristo. Siku ukijua utaacha ujinga. Hata Leo unaweza banwa kwenye Kona Ukawa huna msaada, ndipo utajua tofauti ya utapeli na ukristo. Endelea tu ila ipo siku utaujua ukweli.
 
Aisee mm wapi nimemwita mchungaji?

Kwani si wao wenyewe uko kenya ndo walomwita ivo sasa mm unanilaumu kwa lipi aisee

Kwani ni mara ya kwanza waumini wa kikristo kuuliwa kma ivo?

Be more serious

Sawa mkuu. Point yangu ilikuwa sio kila mchungaji ni mkristo. Tatizo kwenye Ukristo hakuna internal regulation Kali kama uislamu au ukatoliki.
 
Hao watu ni wajinga mnoo
Nilipo Niko Kwa dada angu Kwa muda yaani anamuamini Mwamposa na kumuita mtume kabisaa
Jana nikamuambia Mimi nampenda mwakasage najua mitume walishaisha Hawa wengine matapeli tu
Mara Nabii,Mara mtume,mara kuhanj usanii mtupu
Wanajitajirisha tu kupitia ujinga wetu
Tena Tanzania tushukuru serikali huwa inaingilia Kati, la sivyo yangetokea Kama ya Kenya. Serikali inasaidia Sana kufungia makanisa ya kitapeli.
 
Kabisa
Hivi why wasiendelee kuabudu RC,KKKT, Anglican, Pentecostal, Adventist mpk huko Kwa mchongo kweli

Wanadai wanatafuta miujiza sio mafundisho. Wana kiburi Sana ndio maana mchungaji kawanyoosha ili wengine waelewe kuwa Kuna tofauti ya church na cult.
 
Back
Top Bottom