Ila kuna wakati unawaza huyu baba mchungaji alikusudia nini!? Yaani alikuwa ananufaikaje na vifo vya hawa waumini wake!?? Halafu yeye baba mchungaji alikuwa hataki kwenda mbinguni? Maana yeye mpaka amekamatwa na police alikuwa hajafunga!
Alisema anae taka sio tunaetaka kwenda mbinguni
 
Ishara za hali duni ya maisha, kukata tamaa, msongo wa mawazo ni vitu kama hivi. Kenya kwa sasa siyo salama kuishi
 
Dah..Ni Hatari sana kwa maisha tunayoishi sasa,Sasa kwa mfano Baba mchungaji amenufaika vipi na Vifo hivyo?
 
You've nailed it.
 
Waendelee tu kufukuliwa ili misukule iliyobaki ijionee kwa macho.
 
Wanaojiita wachungaji wa makanisa yanayo ibuliwa kila kukicha ni bomu kubwa kwa taifa.

Wanadanganganya watu bila kujua wanajkuta wameingia kwenye mtego ambao hawawezi kutoka.


 
Inatisha...huyu tapeli wa imani kaangamiza wengi sana, elimu ndogo miongoni mwa waumini imechangia hili janga.
 
Wakristo mara nyingi hawana akili, vichaa na wengi wao ni machizi yaani kiujumla wakristo ni dini ya laana bora freemason kuliko hii dini ya machizi na siku ya mwisho ni kuni za motoni
Unapigania kwenda jehannam!
[emoji116][emoji116]
وَإِن مِّنكُمْ إِلَّا وَارِدُهَا ۚ كَانَ عَلَىٰ رَبِّكَ حَتْمًا مَّقْضِيًّا

(MARYAM - 71)
Wala hapana yeyote katika nyinyi ila ni mwenye kuifikia. Hiyo ni hukumu ya Mola wako Mlezi ambayo lazima itimizwe.
 
Tutalaumu na Kuona waliokufa hamnazo lakini Tufahamu!
[emoji116][emoji116]
أَيْنَمَا تَكُونُوا يُدْرِككُّمُ الْمَوْتُ وَلَوْ كُنتُمْ فِي بُرُوجٍ مُّشَيَّدَةٍ ۗ وَإِن تُصِبْهُمْ حَسَنَةٌ يَقُولُوا هَـٰذِهِ مِنْ عِندِ اللَّهِ ۖ وَإِن تُصِبْهُمْ سَيِّئَةٌ يَقُولُوا هَـٰذِهِ مِنْ عِندِكَ ۚ قُلْ كُلٌّ مِّنْ عِندِ اللَّهِ ۖ فَمَالِ هَـٰؤُلَاءِ الْقَوْمِ لَا يَكَادُونَ يَفْقَهُونَ حَدِيثًا

[ AN-NISAAI - 78 ]
Popote mlipo mauti yatakufikieni, na hata mkiwa katika ngome zilizo na nguvu. Na likiwafikilia jema wanasema: Hili limetoka kwa Mwenyezi Mungu. Na likiwafikilia ovu wanasema: Hili limetoka kwako wewe. Sema: Yote yanatokana na Mwenyezi Mungu. Basi wana nini watu hawa hata hawakaribii kufahamu maneno?
 
Wamefika watu 83
Zaidi ya watu 200 hawajulikani walipo.

Eneo ni Ekari 50000
Hivyo bado polisi wanaendelea fatilia

Waliokamatwa hai wamegoma kula wamesema lazima wafe ili waende mbinguni
 
Wamefika watu 83
Zaidi ya watu 200 hawajulikani walipo.

Eneo ni Ekari 50000
Hivyo bado polisi wanaendelea fatilia

Waliokamatwa hai wamegoma kula wamesema lazima wafe ili waende mbinguni
Wanatofauti Gani na waumini wa zumaridi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…