Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83
View attachment 2597010
Uchunguzi wa tukio hilo umeanza Nchini Kenya ikiwa ni pamoja na kumkamata Mchungaji aliyewataka Waumini wa Kanisa la Good News International wasile chakula ili wafe kwasababu ndio njia pekee ya kufika Mbinguni.
Mapema Wiki hii, Polisi walifanikiwa kuwanusuru Waumini 15 wakiwa hai, Wanne kati yao walifariki njiani wakati wakipelekwa Hospitali na baada ya Uchunguzi zaidi wamebaini Makaburi 32 yanayodaiwa kuzikwa baadhi ya Waumini.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kituo cha Runinga cha NTV, Polisi imeeleza huenda uchunguzi unaoendelea ukafanikisha kupatikana Miili mingine zaidi kutoka katika Makaburi yaliyopo Malindi jirani na Msitu wa Shakahola.
======================

Police began investigations amid reports that cult followers believed they would go to heaven if they starved to death.

Kenyan police have exhumed human remains from more than a dozen suspected graves in the east of the country amid an investigation into followers of a Christian cult who believed they would go to heaven if they starved themselves to death.

Police began exhuming bodies on Friday, said Charles Kamau, a detective in the town of Malindi near the Shakahola forest in Kilifi county, where police rescued 15 members of the Good News International Church last week, according to footage broadcast by Citizen TV.

Unnamed police sources told the AFP news agency on Saturday that 21 bodies had been found so far and that more could yet be uncovered.

“In total since yesterday, we have 21 bodies,” a police source told AFP on condition of anonymity, referring to exhumations in the Shakahola forest outside the coastal town of Malindi.

“We have not even scratched the surface which gives a clear indication that we are likely to get more bodies by the end of this exercise,” the source added. A second police source confirmed the same toll, also on condition of anonymity, AFP reported.

Kenya’s NTV channel reported on Saturday that seven bodies had been removed from two of 32 suspected gravesites marked out by police.

AL JAZEERA
Haya ni mauaji ya kimbari
 
Imani usikute hapo wanawake ndio wengi wanawake inawakubali sana imani,
 
Pale Mchumgaji anapotaka gari anachangiwa pesa ila mfuasi anaombewa ili apate gari,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Hapa mkuu ndo wanapokoseaga, nina marafiki waislamu wanakula nguruwe na jana baada ya mwezi kuisha pombe na nguruwe hilo hali testify uislamu ni DINI ya ovyo ni DINI nzuri ujinga upo kwetu sisi wapokeaji[emoji23][emoji23] no OFFENSE MKUU, ni wapumbavu tu hiyo haifanyi ukristo kuwa wa ovyo
 
Pale Mchumgaji anapotaka gari anachangiwa pesa ila mfuasi anaombewa ili apate gari,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Sijakataa ndo mana wapo masheikh wana wake watatu na BADO anafumwa guest na kahaba point ni kwamba huo skeikh kufumwa guest haku testify uislamu ni wa ovyo na wala si mafundisho na kanuni za uislamu ni upumbavu wake binafsi hata ukirsto the same hayo si mafundisho ya biblia ni upumbavu wa hao hao havihusiani boss, MUNGU ni wetu sote
 
Polisi Nchini Kenya wamegundua miili 21 ya waumini wa kanisa la Good news International church linaloongozwa na Mchungaji Paul Mackenzie, ambaye anashikiliwa na polisi kwa madai ya kuwataka waumini wake kufa njaa ili kufika Mbinguni kwa haraka😂 sio Kenya Tu hata bongo
 

Attachments

  • 20230423_190744.jpg
    20230423_190744.jpg
    56.7 KB · Views: 8
Mamia ya waumini wa Kanisa moja mashariki ya Kenya wahofiwa kufa walipofunga kula mfululizo Ili kwenda mbinguni!

Wonders shall never end!
Kondoo sio jina zuri, libadilishwe!

 
Wafuasi wa Brian Deacon wamejaza mazezeta. Humu pia wamejaa kutwa kubisha vitu hawana ujuzi navyo kwa kumezeshwa na wachungaji wao.
 
Kweli hizi dini za kigeni zitatuangamiza. Turudi kwenye imani yetu ya jadi. Huenda ni ushirikina kwani kama una akili timamu huwezi ukafanya huo ujinga.
 
Back
Top Bottom