Mrs Thabo Bester
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 3,145
- 7,921
SawaUnaandika uongo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
SawaUnaandika uongo
😂😂😂Walikufa 20 kule Moshi kwa kukanyagana, wakiaminishwa mafuta ya upako yanaponya.
Unahakika kuwa ni mafundisho ya biblia?Sijakataa ndo mana wapo masheikh wana wake watatu na BADO anafumwa guest na kahaba point ni kwamba huo skeikh kufumwa guest haku testify uislamu ni wa ovyo na wala si mafundisho na kanuni za uislamu ni upumbavu wake binafsi hata ukirsto the same hayo si mafundisho ya biblia ni upumbavu wa hao hao havihusiani boss, MUNGU ni wetu sote
Huenda mm nimekosea nimesema hayo si mafundisho ya biblia nisamehe mkuu🙏
Nimesema hayo si mafundisho ya biblia mkuu
Dah yni hpa sipati picha wangekua Waislamu hawa watu thread ingekua ishafika 1K ila kwakua ni wao kwa wao tuwaache wafu wazike wafu wenzaoView attachment 2597010
Uchunguzi wa tukio hilo umeanza Nchini Kenya ikiwa ni pamoja na kumkamata Mchungaji aliyewataka Waumini wa Kanisa la Good News International wasile chakula ili wafe kwasababu ndio njia pekee ya kufika Mbinguni.
Mapema Wiki hii, Polisi walifanikiwa kuwanusuru Waumini 15 wakiwa hai, Wanne kati yao walifariki njiani wakati wakipelekwa Hospitali na baada ya Uchunguzi zaidi wamebaini Makaburi 32 yanayodaiwa kuzikwa baadhi ya Waumini.
Kwa mujibu wa taarifa ya Kituo cha Runinga cha NTV, Polisi imeeleza huenda uchunguzi unaoendelea ukafanikisha kupatikana Miili mingine zaidi kutoka katika Makaburi yaliyopo Malindi jirani na Msitu wa Shakahola.
====
Police began investigations amid reports that cult followers believed they would go to heaven if they starved to death.
Kenyan police have exhumed human remains from more than a dozen suspected graves in the east of the country amid an investigation into followers of a Christian cult who believed they would go to heaven if they starved themselves to death.
Police began exhuming bodies on Friday, said Charles Kamau, a detective in the town of Malindi near the Shakahola forest in Kilifi county, where police rescued 15 members of the Good News International Church last week, according to footage broadcast by Citizen TV.
Unnamed police sources told the AFP news agency on Saturday that 21 bodies had been found so far and that more could yet be uncovered.
“In total since yesterday, we have 21 bodies,” a police source told AFP on condition of anonymity, referring to exhumations in the Shakahola forest outside the coastal town of Malindi.
“We have not even scratched the surface which gives a clear indication that we are likely to get more bodies by the end of this exercise,” the source added. A second police source confirmed the same toll, also on condition of anonymity, AFP reported.
Kenya’s NTV channel reported on Saturday that seven bodies had been removed from two of 32 suspected gravesites marked out by police.
AL JAZEERA
Wewe hufai 😂Ila imani ni kitu kibaya sana.
Mimi huyu nikae nasubiri kufa? Ningekuwa natoroka naenda kula alafu narudi kuendelea na ibada.
Yule aliyeoa binti wa miaka 9 ndiye kafilisi akili zenu , na kawapiga marufuku kuwa na tittle kama yakeUislam hauna manabii wala mitume wa michongo .....
Hili uwe mkiristo kwanza ujitoe akili kwa muda mfano kwenye biblia kuna kulasa zinazo elezea kuzaliwa kwa yesu na ukoo wamama yake na makuzi yake maisha yake kwa jumla alafu heti mtu kabeba kitabu hicho kwapani kila aendako alafu heti mchungaji ana mwambia yesu ndie Mungu mkuu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] tangu lini Mungu akavaa nepi?Polisi Nchini Kenya wamegundua miili 21 ya waumini wa kanisa la Good news International church linaloongozwa na Mchungaji Paul Mackenzie, ambaye anashikiliwa na polisi kwa madai ya kuwataka waumini wake kufa njaa ili kufika Mbinguni kwa haraka[emoji23] sio Kenya Tu hata bongo
Hati nyiyi hao makuhani wenu mnavio waamini wakiwaambia msile mnakubali tu hili uwe mkiristo kwanza ujitoe akili kwa mudaTanzania bado tunatoa sadaka ya kujimaliza, hatujafikia kufunga mpaka kufa.
Hao watu ni wajinga mnooMwamposa huyo
KabisaWakristo wa mchongo hao