Haya ni mauaji ya kimbari
 
Imani usikute hapo wanawake ndio wengi wanawake inawakubali sana imani,
 
Ila imani ni kitu kibaya sana.

Mimi huyu nikae nasubiri kufa? Ningekuwa natoroka naenda kula alafu narudi kuendelea na ibada.
Imani Haina ubaya wowote wewe acha upuuzi
Ukafir ndio kitu kibayq
 
Pale Mchumgaji anapotaka gari anachangiwa pesa ila mfuasi anaombewa ili apate gari,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
 
Pale Mchumgaji anapotaka gari anachangiwa pesa ila mfuasi anaombewa ili apate gari,hakika ujinga wa uzeen lazma utakufa nao tu pole sana
Sijakataa ndo mana wapo masheikh wana wake watatu na BADO anafumwa guest na kahaba point ni kwamba huo skeikh kufumwa guest haku testify uislamu ni wa ovyo na wala si mafundisho na kanuni za uislamu ni upumbavu wake binafsi hata ukirsto the same hayo si mafundisho ya biblia ni upumbavu wa hao hao havihusiani boss, MUNGU ni wetu sote
 
Polisi Nchini Kenya wamegundua miili 21 ya waumini wa kanisa la Good news International church linaloongozwa na Mchungaji Paul Mackenzie, ambaye anashikiliwa na polisi kwa madai ya kuwataka waumini wake kufa njaa ili kufika Mbinguni kwa haraka😂 sio Kenya Tu hata bongo
 

Attachments

  • 20230423_190744.jpg
    56.7 KB · Views: 8
Mamia ya waumini wa Kanisa moja mashariki ya Kenya wahofiwa kufa walipofunga kula mfululizo Ili kwenda mbinguni!

Wonders shall never end!
Kondoo sio jina zuri, libadilishwe!

 
Wafuasi wa Brian Deacon wamejaza mazezeta. Humu pia wamejaa kutwa kubisha vitu hawana ujuzi navyo kwa kumezeshwa na wachungaji wao.
 
Kweli hizi dini za kigeni zitatuangamiza. Turudi kwenye imani yetu ya jadi. Huenda ni ushirikina kwani kama una akili timamu huwezi ukafanya huo ujinga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…