Unahakika kuwa ni mafundisho ya biblia?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah yni hpa sipati picha wangekua Waislamu hawa watu thread ingekua ishafika 1K ila kwakua ni wao kwa wao tuwaache wafu wazike wafu wenzao
 
Huyo tapeli anayejiita ni mchungaji ni mhalifu tu kama wengine. Sasa wewe unaelezea vipi kuwaambia watu wafunge hadi kufa?

Huyo asomewe mashitaka yake kwa mujibu wa sheria na ahukumiwe kifungo cha maisha mfululizo kwa kila mtu aliyempatia umauti.
 
Watanzania tuko wajinga ila wakenya ni wajinga zaidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hili uwe mkiristo kwanza ujitoe akili kwa muda mfano kwenye biblia kuna kulasa zinazo elezea kuzaliwa kwa yesu na ukoo wamama yake na makuzi yake maisha yake kwa jumla alafu heti mtu kabeba kitabu hicho kwapani kila aendako alafu heti mchungaji ana mwambia yesu ndie Mungu mkuu [emoji12][emoji12][emoji12][emoji12] tangu lini Mungu akavaa nepi?
 
Tanzania bado tunatoa sadaka ya kujimaliza, hatujafikia kufunga mpaka kufa.
Hati nyiyi hao makuhani wenu mnavio waamini wakiwaambia msile mnakubali tu hili uwe mkiristo kwanza ujitoe akili kwa muda
 
Wenda watakuwa wameenda mbinguni mana kwenda hadi ufe sisi hatujafikia hatua ya kupaa mzima mzima kwenda mbinguni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…