Kwani wachungaji wanatokea dini ipi na masheikh wanatokea dini ipi?Sawa mkuu. Point yangu ilikuwa sio kila mchungaji ni mkristo. Tatizo kwenye Ukristo hakuna internal regulation Kali kama uislamu au ukatoliki.
Una hoja mkuu, pengine kuna Jambo limejificha muda utasema [emoji848]Mimi najiuliza ilikuwaje idadi yote hiyo ya watu wafe, wazikwe bila kustukiwa. Je wote walikufa siku moja au kwa siku tofauti tofauti na je nani aliyekuwa akichimba na kuwazika wanaokufa ilihali wote wamedhoofika kwa kukosa kula?
Hao sio mitume ni vijana walioamua kuwa extremists lakini hii habari ya kuwa na mtume kila kijiji aisee inawagharimu sana, sasa hawa watu kweli walifunga ili wakutane na yesu? kwani kukutana na yesu mpaka ufunge?.Unaongea ukiwa wapi,hawa wanaovaa mabomu na kuua watu wasio na dini kwa jina la Allah we huwasikii?extrimist wapo kila dini
Mkuu yesu hana ukuu zaidi ya ule aliopewa na yule aliyemuumba na yeye alikuja kwaajili ya kuwatoa wana wa israeli kutoka kwenye giza la ushirikina na ujinga na kuwapeleka kwenye nuru ya tawhidi na elimu, wala yesu hakutumwa kwako wewe mkuu econonist wala wenzako, yeye alitumwa kwa wana wa israeli peke yao, kama alivyotumwa musa alayhi ssalaam na ndio maana yeye alikuja kuyathibitisha zaidi mafundisho ya torati, nyinyi wa matumbi wenzetu na torati wapi na wapi?.Endelea kukufuru, maana bado una neema. Ila hujui ukuu wa jina la Yesu Kristo. Siku ukijua utaacha ujinga. Hata Leo unaweza banwa kwenye Kona Ukawa huna msaada, ndipo utajua tofauti ya utapeli na ukristo. Endelea tu ila ipo siku utaujua ukweli.
Yupo jela na amegoma kula,anaendelea na mfungo dadeki,[emoji3]
Kuna mmoja huku bongo alishaanza kuweka order ya kucha na nywele za utosini kwa waumini wake.
Nadhani huyu nae ndio alikuwa anaelekea huko kwenye cults[emoji3061]
Lakini tofauti ya mwakasege na mwamposa ni ipi? na nakumbuka wewe ni muislamu reymage kama sijaanza kuzeeka vibaya.Hao watu ni wajinga mnoo
Nilipo Niko Kwa dada angu Kwa muda yaani anamuamini Mwamposa na kumuita mtume kabisaa
Jana nikamuambia Mimi nampenda mwakasage najua mitume walishaisha Hawa wengine matapeli tu
Mara Nabii,Mara mtume,mara kuhanj usanii mtupu
Wanajitajirisha tu kupitia ujinga wetu
Mkuu yesu hana ukuu zaidi ya ule aliopewa na yule aliyemuumba na yeye alikuja kwaajili ya kuwatoa wana wa israeli kutoka kwenye giza la ushirikina na ujinga na kuwapeleka kwenye nuru ya tawhidi na elimu, wala yesu hakutumwa kwako wewe mkuu econonist wala wenzako, yeye alitumwa kwa wana wa israeli peke yao, kama alivyotumwa musa alayhi ssalaam na ndio maana yeye alikuja kuyathibitisha zaidi mafundisho ya torati, nyinyi wa matumbi wenzetu na torati wapi na wapi?.
"Na atamfundisha kuandika na hekima na taurati na injili."
"na ni mtume kwa wana wa israeli.........."
Qur'an 3:48-49
Huyu si mtume wenu wakuu wala mafundisho yake si haya mnayoishi nayo nyinyi leo hii, maana yeye katu hakuwaeleza wanafunzi wake wamtukuze na kumfanya njia na uzima ya kumfikia allah, bali kumfanya yeye ndie mkuu na mwenye utukufu kuliko yule aliyemtuma, bali kibaya zaidi kumfanya ni sehemu ya nafsi 3 za muumbaji, sasa nyinyi ndugu zangu vipi mnapotezwa?.
Secondly, yesu hakuwa isipokuwa mwanadamu tu kama mimi na wewe isipokuwa yeye ni mtume miongoni mwa mitume na muujiza miongoni mwa miujiza ya mola wetu aliyetuumba, sasa vipi jina la muumbaji lisiwe kuu zaidi kisha nibanwe kwenye kona nikumbuke jina la mtume miongoni mwa mitume waliotangulia miaka 2000+ iliyopita? hii itakuwa akili timilifu?.
Mimi najiuliza ilikuwaje idadi yote hiyo ya watu wafe, wazikwe bila kustukiwa. Je wote walikufa siku moja au kwa siku tofauti tofauti na je nani aliyekuwa akichimba na kuwazika wanaokufa ilihali wote wamedhoofika kwa kukosa kula?
Unaweza kukaribia kwa mjadala wa kistaarabu mkuu.Sawa mkuu naheshimu maoni yako.
Sidhani kama wanawazidi mbuzi waliopo Tz
Nxhi yetu ni tabu tupu, wajinga wengi sanaTanzania tuna mungu anaitwa mfalme Zumaridi. Huyu akiamua kuwakaanga wale waumini wake wanaopagawa mapepo ni sekunde tu.
Dini haziendani na miujiza, hata wokovu hauendi kwa miujizaWanadai wanatafuta miujiza sio mafundisho. Wana kiburi Sana ndio maana mchungaji kawanyoosha ili wengine waelewe kuwa Kuna tofauti ya church na cult.
Three people you will never advice them in life:Imani usikute hapo wanawake ndio wengi wanawake inawakubali sana imani,
Hao walikosa uelewa tu,kukutana na Yesu sio lazima ufungeHao sio mitume ni vijana walioamua kuwa extremists lakini hii habari ya kuwa na mtume kila kijiji aisee inawagharimu sana, sasa hawa watu kweli walifunga ili wakutane na yesu? kwani kukutana na yesu mpaka ufunge?.
We ndio mjinga na mbaya.Imani Haina ubaya wowote wewe acha upuuzi
Ukafir ndio kitu kibayq
Hiyo sio imani kama unaona ni imani na wewe utakuwa mjinga wao.Ni imani yao naheshimu hilo maadam hawajamdhuru mtu.
Three people you will never advice them in life..Hao watu ni wajinga mnoo
Nilipo Niko Kwa dada angu Kwa muda yaani anamuamini Mwamposa na kumuita mtume kabisaa
Jana nikamuambia Mimi nampenda mwakasage najua mitume walishaisha Hawa wengine matapeli tu
Mara Nabii,Mara mtume,mara kuhanj usanii mtupu
Wanajitajirisha tu kupitia ujinga wetu