Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83
Huyo mchungaji mjinga sana,badala ya kufuga makondoo yawe mengi ili apate sadaka za kutosha yeye anayapunguza kwa kuyaambia yafe
 
Mimi najiuliza ilikuwaje idadi yote hiyo ya watu wafe, wazikwe bila kustukiwa. Je wote walikufa siku moja au kwa siku tofauti tofauti na je nani aliyekuwa akichimba na kuwazika wanaokufa ilihali wote wamedhoofika kwa kukosa kula?
 
Sijakataa ndo mana wapo masheikh wana wake watatu na BADO anafumwa guest na kahaba point ni kwamba huo skeikh kufumwa guest haku testify uislamu ni wa ovyo na wala si mafundisho na kanuni za uislamu ni upumbavu wake binafsi hata ukirsto the same hayo si mafundisho ya biblia ni upumbavu wa hao hao havihusiani boss, MUNGU ni wetu sote
Sahihi iam Muslim but I can't insult wengineo maana 99 %ya Ndugu zangu ni christians
 
Himars na extrovert wehu ninyi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndo ukweli wenyewe
Mi mtua daladala huwa nikijua ni siku ya wale watu nabadilisha njia ya kupita sitaki gusa kawe kabisa.
Kwanza nauli twapandishiwa, afu watu wanakimbizana, afu daladala chache
 
Watu hawaelewi kabisaaa
Wataelewaje wakat ni wajinga hawapendi kusoma na yeye alisema Asomaye na afahamu , wakiwategemea walimu wao wa uongo , yaan taabu sana na victim wakubwa wa hawa wahubiri wa kujitegemea ni Wanawake .... Hii jinsia ni disaster
 
Wataelewaje wakat ni wajinga hawapendi kusoma na yeye alisema Asomaye na afahamu , wakiwategemea walimu wao wa uongo , yaan taabu sana na victim wakubwa wa hawa wahubiri wa kujitegemea ni Wanawake .... Hii jinsia ni disaster
Mi nikikutana na demu mpenda kanisa sana namtema maana anaweza uza kila kitu kutoa sadaka mtumishi akale
 
Back
Top Bottom