Update: Miili iliyofukuliwa ya Waumini waliofunga hadi kufa yafikia 83
kufunga-pic.jpg

Maofisa na wananchi wakipandisha mwili kwenye gari ya polisi baada ya kufukuliwa katika Kijiji cha Shakahola, Kaunti ya Kilifi nchini Kenya. Picha na NMG.

Muktasari:​

  • Idadi ya miili ya waumini waliofariki dunia kwa kufunga imefikia 50 katika shughuli za ufukuaji wa makaburi zinazoendelea katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Kenya. Idadi ya miili ya waumini waliofariki dunia kwa kufunga imefikia 65 katika shughuli za ufukuaji wa makaburi zinazoendelea katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti mchungaji huyo alikamatwa siku 10 zilizopita na Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Malindi nchini humo baada ya kudaiwa kuwashawishi waumini wake wafunge hadi kufa ili waingia mbinguni na kuurithi ufalme wa Mungu.
Akizungumza leo Jumatatu Aprili 24, 2023 wakati wa shughuli hiyo, Inspekta Jenerali wa Polisi, Japhet Koome amesema baada ya kufika eneo la tukio na kushuhudia miili mingine 26 ikifukuliwa hivyo kufikia 65 waliokufa. Amesema watu 29 waliokolewa na kupelekwa hospitalini.

IG Koome na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mohammed Amin walifika kijijini hapo mchana kufuatia ufukuaji huo huku uchunguzi ukiendelea kuhusu njaa na kusababisha vifo hao.
Jeshi hilo limeingia wasiwasi huenda baadhi hawakufa kwa njaa kabla ya kuzikwa kwenye eneo hilo.
Tukio hilo lililoibua mjadala katika ukanda wa Afrika na dunia limeendelea kuibua maswali kuhusu uwajibikaji wa vyombo vya usalama vya ndani nchini humo hatua iliyoibua hisia na mjadala unaoshambulia Serikali katika mwenendo wa kushughulikia kesi hiyo.
Jana Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki alisema Serikali itaendelea kuheshimu uhuru wa dini lakini adhabu kali kwa mhusika lazima itatolewa.
"Mauaji hayo ni unyanyasaji zaidi wa haki ya binadamu ya uhuru wa kuabudu kikatiba, sheria za Kenya pamoja na sheria za kimataifa.
"Wakati Serikali inaendelea kuheshimu uhuru wa dini, dosari hii lazima itoe adhabu kali zaidi ya mhusika huyu (mchungaji) kwa kupoteza uhai wa watu wasiokuwa na hatia, lakini udhibiti mkali zaidi uonekane kwa kila kanisa, msikiti, hekalu au sinagogi,” amesema Profesa.
chanzo. Miili ya waumini waliofunga hadi kufa yafikia 65
 
Uhuru gani wa dini hizi ambazo serikali inaziheshimu?
Hizi dini zingine ni ushenzi tuu na uongo, tena utakuta wengine amewauwa tu na hela zao huenda kawashawishi wamuachie

Lazima achunguzwe mbona wenzetu jambo la kwanza wanaangalia accounts za bank?

Huyu ni tapeli na muuwaji na sio peke yake
 
View attachment 2598895
Maofisa na wananchi wakipandisha mwili kwenye gari ya polisi baada ya kufukuliwa katika Kijiji cha Shakahola, Kaunti ya Kilifi nchini Kenya. Picha na NMG.

Muktasari:​

  • Idadi ya miili ya waumini waliofariki dunia kwa kufunga imefikia 50 katika shughuli za ufukuaji wa makaburi zinazoendelea katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Kenya. Idadi ya miili ya waumini waliofariki dunia kwa kufunga imefikia 65 katika shughuli za ufukuaji wa makaburi zinazoendelea katika Kaunti ya Kilifi nchini Kenya.
Vyombo vya habari nchini Kenya vimeripoti mchungaji huyo alikamatwa siku 10 zilizopita na Jeshi la Polisi katika Kaunti ya Malindi nchini humo baada ya kudaiwa kuwashawishi waumini wake wafunge hadi kufa ili waingia mbinguni na kuurithi ufalme wa Mungu.
Akizungumza leo Jumatatu Aprili 24, 2023 wakati wa shughuli hiyo, Inspekta Jenerali wa Polisi, Japhet Koome amesema baada ya kufika eneo la tukio na kushuhudia miili mingine 26 ikifukuliwa hivyo kufikia 65 waliokufa. Amesema watu 29 waliokolewa na kupelekwa hospitalini.

IG Koome na Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Mohammed Amin walifika kijijini hapo mchana kufuatia ufukuaji huo huku uchunguzi ukiendelea kuhusu njaa na kusababisha vifo hao.
Jeshi hilo limeingia wasiwasi huenda baadhi hawakufa kwa njaa kabla ya kuzikwa kwenye eneo hilo.
Tukio hilo lililoibua mjadala katika ukanda wa Afrika na dunia limeendelea kuibua maswali kuhusu uwajibikaji wa vyombo vya usalama vya ndani nchini humo hatua iliyoibua hisia na mjadala unaoshambulia Serikali katika mwenendo wa kushughulikia kesi hiyo.
Jana Katibu wa Baraza la Mawaziri wa Mambo ya Ndani Profesa Kithure Kindiki alisema Serikali itaendelea kuheshimu uhuru wa dini lakini adhabu kali kwa mhusika lazima itatolewa.
"Mauaji hayo ni unyanyasaji zaidi wa haki ya binadamu ya uhuru wa kuabudu kikatiba, sheria za Kenya pamoja na sheria za kimataifa.
"Wakati Serikali inaendelea kuheshimu uhuru wa dini, dosari hii lazima itoe adhabu kali zaidi ya mhusika huyu (mchungaji) kwa kupoteza uhai wa watu wasiokuwa na hatia, lakini udhibiti mkali zaidi uonekane kwa kila kanisa, msikiti, hekalu au sinagogi,” amesema Profesa.
chanzo. Miili ya waumini waliofunga hadi kufa yafikia 65
Ukisoma kwa makini maneno aliyoongea raisi wa China miaka kadhaa iliyopita, utaona kabisa raisi huyo alikuwa sahihi.

Ndiomaana wenzetu wameendelea kwa sababu ya kutokufuata huu ujinga.
 
Attachments

  • Screenshot_20221024-214325.jpg
    Screenshot_20221024-214325.jpg
    68.1 KB · Views: 3
Ukisoma kwa makini maneno aliyoongea raisi wa China miaka kadhaa iliyopita, utaona kabisa raisi huyo alikuwa sahihi.

Ndiomaana wenzetu wameendelea kwa sababu ya kutokufuata huu ujinga.
Sahihi kabisa kwa 100% huoni hata mtifuano unaotokeaga hapa JF baina ya Wafia dini wa pande 2 kila kukicha?
 
Wameamua wenyewe wafunge wafe na wamekufa waacheni, waende walipopapenda

Sisi tutafunga hasubuhi mpaka jioni tunakula kama kawa

Mtu akiamua mwenyewe muacheni na kitakuja kimtu kinasema saa 12 jioni mnakula saa 2 usiku mnakula saa 9 usiku mnakula alaf mnashinda hasubuhi mchana na jioni tu alaf ndio mnasema mnafunga.. mmeona sasa kilichotokea huko

Ila tunaamini wameenda pahala pema tuwaombeeni tusiwabeze

WAJINGA HAWAISHAGI
 
Hawana kesi
 
Kuna mtoto wa Mwamposa maana wao wanamuita baba...nikampa somo la kumla dudu akajaa ila kwa sharti la kufunga tatu kavu. yeye anakaa Lumo mimi nipo zangu Kibamba nikamdanganya nafunga kweli tatu kavu. Yaani hakuna kula wala kunywa kwa siku tatu. Nikajiseme hiiiiiiiiiii bhagosha yaani nisile nikamdanganya nafunga tatu zilivyokwisha J2 nikatimba KAWE church. Tukamaliza misa tukaingia kwenye PASSO yangu kiguu na njia kufanya uzinzi. Akalala wiki nzima. Ukweli baadhi ya Walokole ni WEHU. Sasa huyu Mackenzi alichofanya hata yule Mungu wa Mwanza mwenye mkorogo angelifanya hili.
 
Religion is the poison of soul and alcohol of mind
 
Back
Top Bottom