Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
shida si kuoa...ustaadhi shekh ana wake 4 bado analawiti...mume wako pia wa ndoa bado anaweza kubaka...kesi za ubakaji nyingi na ulawiti ni za watu na ndoa zaoNatamani wanachokifanya polisi kwa panyaroad wangekifanya kwa hawa wabakaji pia.
Li mtu linaumiza watoto na bila aibu linaenda kuendesha misa. Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe
well saidKukithiri kwa vitendo hivi ni jambo lenye kuogofya lakini jambo lenye kutisha zaidi ni matendo haya machafu kufanywa na watu ambao kwa nafasi zao kwenye jamii wangetakiwa wao kuwa ndio wakemeaji wakuu kwenye jamii zet.
Viongozi wa kidini wanatakiwa mfano bora kwenye jamii kwa kile wanochohubiri lakini wao wanapokuwa wanakimbizana na shetani kwa uchafu jamii inazidi kupata mkanganyiko.
Kwa kifupi Dunia sio sehemu salama kwa ustawi wa familia iliyonyooka kimaadili.
indeedPadre umeiangusha taasisi.
Very bad news.
Mkuu hakuna afadhali sas unaweza kuta huyo s mchaga Bali Ni wa musoma Hawa kina sospita ndio majina ya kwenu ukoYes kabisa...kuna majimbo yako serious kwenye kupika mapadre...hutakaa usikie habari kama hizi katika majimbo yenye Sheria kali kama Bukoba, kayanga, bunda NK NK .
Jimbo la Moshi wanalipua mno kwenye kuandaa mapadre.....wanaona bora kuwa na mapadre wengi Kwa majina lakin kimsimgi sio mapadre halisi...
Ni bora muwe na mapadre wachache lakin wale wenye wito..sio kuficha mashoga na watafuta pesa ndani ya upadre....
Kusema ukweli na viongozi wa Jimbo la Moshi wawe serious kwenye hili...
Ndio huyu kijanaHafananii. Kabisa ila kwa. Uchunguzi wangu simpo jamaa alikuwa anawala kweliView attachment 2368764
Hapa ni zaidi ya kufanya mapenzi. Kuna mapedri wengi tu wana wanawake mitaani na wanaendela na maisha. Huyo padri inaonekana hata angekuwa siyo padri bado angefanya huu ujinga.Usipo fanya mapenzi ni adhabu kubwa sana kuliko kuua waruhusiwe waoe
Mkuu maoni yako yana ukweli. Huyu jamaa hakufanya huu uchafu kwa sababu ya mapadri kutoruhusiwa kuoa na wala hakukosa wanawake. Hii ni tabia yake na angekuwa mtaani, i.e. siyo padri, bado angeifanya. Inaonyesha huko kwenye upadri alikimbilia huko kuficha hizi tabia au aliona ndiko atakapopata mawindo yake kwa urahisi bila kujulikana.Mbona anaonekana mpole...
Huyu angeomba huduma Kwa sister hasingenyimwa....
Mtu mpaka kulawiti watoto wa kiume ina maana ni Shoga...
Na kanisani wanajificha mashoga wengi sana.
Nb..Mimi ni mkatoliki pure tena nimesoma seminary...Jimbo la Moshi mnazembea katika malezi ya waseminari na mapadre...
Mnajivunia mapadre wengi ( tunawapongeza Kwa hilo) lakin hamuwapiki vzr waseminari wenu mpaka wawe mapadre... jifunzeni Jimbo la Bukoba ( wanasheria ngumu na wanafatilia kweli kweli ili mtu aruhusiwe kuwa padre) Wana seminary moja ya Rubya lakin ni very displined seminary yenye mapadre wachunguzi wengi..
Moshi kuna seminary nyingi na nyingi za mashirika so kucontrol wanaoingia seminary na kuwa mapadre inakuwa ngumu...
Wanaobeba wake za watu nao tufanyeje.huyu padri ni mmoja ila wapo mapadri wa namna hii wengi.wazazi zingumzeni na watoto wenu,wazazi wenye watoto shule za boarding kuweni makini hali ni mbaya sana kwakweli.
Umeandika kwa hasira sana.Ni haki yako kabisa.This ni Mjadala mzito inatakiwa kufanya utafiti rcs wamepandikiza mamluki kuchafua Imani zetu sasa tuweze kutafakari RC tunaenda wapi basi kanisani mtwambie tuondoke Rcs Kilimanjaro kesi za ulawiti why
Hakuna walawiti waliooa?Duuh hatari Sana, waruhusiwe kuoa/ kuolewa kwa upande wa ma sister
Nani alikuambia waliooa siyo walawiti?Natamani wanachokifanya polisi kwa panyaroad wangekifanya kwa hawa wabakaji pia.
Li mtu linaumiza watoto na bila aibu linaenda kuendesha misa. Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe