UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

Kuna padre aliitwa sixtus kama sikosei miaka ya nyuma aliwahi kuhusishwa na hii mambo baada ya kukutwa na polisi akiwa na kijana wa kiume maeneo ya chuo kikuu mida ya usiku!
 
Kuna mambo ya hovyo sana yamejificha kwenye hili dhehebu la wakatoliki! Nawajua,nawafahamu na nimeishi nao tena kwenye abasia zao! Uzinzi,ushoga,ufiraji,kutembea na wake za watu, rushwa,udini,upendeleo na wizi kwao ni kitu cha kawaida! Serikali iangalie sana hawa jamaa la sivyo!.........
 
Natamani wanachokifanya polisi kwa panyaroad wangekifanya kwa hawa wabakaji pia.

Li mtu linaumiza watoto na bila aibu linaenda kuendesha misa. Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe
shida si kuoa...ustaadhi shekh ana wake 4 bado analawiti...mume wako pia wa ndoa bado anaweza kubaka...kesi za ubakaji nyingi na ulawiti ni za watu na ndoa zao

Ustaarabu wa kawaida tuu...ni kama mtu anaelalamika kuwa wadada wanaovaa nguo fupi wana amsha tamaa zake

Ni wazi mtu huyu ameshindwa ustaarabu hata na wanyama wanaokaa uchi lakini hawaingiliani hovyo hovyo
 
well said
 
Mkuu hakuna afadhali sas unaweza kuta huyo s mchaga Bali Ni wa musoma Hawa kina sospita ndio majina ya kwenu uko
 
Mkuu maoni yako yana ukweli. Huyu jamaa hakufanya huu uchafu kwa sababu ya mapadri kutoruhusiwa kuoa na wala hakukosa wanawake. Hii ni tabia yake na angekuwa mtaani, i.e. siyo padri, bado angeifanya. Inaonyesha huko kwenye upadri alikimbilia huko kuficha hizi tabia au aliona ndiko atakapopata mawindo yake kwa urahisi bila kujulikana.
 
Hii ni tabia ya mtu. Isichukuliwe kama ya jamii yake
 
huyu padri ni mmoja ila wapo mapadri wa namna hii wengi.wazazi zingumzeni na watoto wenu,wazazi wenye watoto shule za boarding kuweni makini hali ni mbaya sana kwakweli.
Wanaobeba wake za watu nao tufanyeje.
 
Halafu baadaye tunaambiwa hakuna ushahidi, na muovu yupo nje..

Hizi Sheria zingekuwa kali mno hawa waovu wangekoma na tungetengeneza jamii iliyo bora kabisa.
 
This ni Mjadala mzito inatakiwa kufanya utafiti rcs wamepandikiza mamluki kuchafua Imani zetu sasa tuweze kutafakari RC tunaenda wapi basi kanisani mtwambie tuondoke Rcs Kilimanjaro kesi za ulawiti why
 
This ni Mjadala mzito inatakiwa kufanya utafiti rcs wamepandikiza mamluki kuchafua Imani zetu sasa tuweze kutafakari RC tunaenda wapi basi kanisani mtwambie tuondoke Rcs Kilimanjaro kesi za ulawiti why
Umeandika kwa hasira sana.Ni haki yako kabisa.
 
Natamani wanachokifanya polisi kwa panyaroad wangekifanya kwa hawa wabakaji pia.

Li mtu linaumiza watoto na bila aibu linaenda kuendesha misa. Wakatoliki mnafeli wapi ruhusuni mapadri waoe
Nani alikuambia waliooa siyo walawiti?
 
Haya mambo yalianzia Vatican ,ujeruman ,ufaransa na yamesambaa mpaka moshi inabidi kanisa katoliki lichunguzwe watoto wetu hawapisalama wakienda Sunday school.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…