UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

Yapo mengi yanayofichwa, labda uliza wale waliotaka kuwa watawa ila wakaambiwa hawana wito. Kwa kipindi walichokaa watakuwa wameshuhudia mengi. Kwa mtu mkweli bila unafiki anaweza kukueleza. Naona suluhisho ni kuwaruhusu kuoa.
Wana siri sana hao
 
@bandiga umeongea point sana.Sioni haj ya sijui komnio na kipa imara ni upuuzi tu hakunamahali inaongeza CV wala hakuna mtu atakuuliza cheti cha ubatizo ndio upate ajira.Watoto waangaliwe
 
Roma wabatilishe kanuni, hawa jamaa waruhusiwe kuoa !! Mungu mwenyewe aliumba Eva alikuwa na maana yake, upinge wewe nani?
Bado haitatatua tatizo.
Angaliwaendea watoto wa kike tena kwa namna ipasayo tungesema mwili ulimwaka tamaa ila watoto wakiume na hata kama ni wakike kinyume na maumbile hapo bado sio suluhu.
Je na wale wanaoruhusiwa kuoa tena wana wake na bado wanafanya vitendo hivi inakuwaje.
Nadhani ni tabia ya mtu binafsi ndio hupelekea haya au watoto walikuwa wakiume tupu??
 
Dhambi ni dhambi tu ..... Anyway ingawa hata hao aliosomewa mashtaka ni kubaka watoto wa wakike na sio wakiume
 
Mihemko tu ya ajabu ajabu kwani si bado anatuhumiwa?
achane mahakama ifanye kazi yake.
 
Toa taarifa washughulikiwe, usifiche
 
Ukiona watu wanapuuza masuala ya imani basi ujue sababu ni nyingi. Hata Ulaya, leo hii wengi hawana taimu na dini,moja ya sababu ni kama hizi. Walikuja kutambua dini hutumika kama kichaka cha hujuma. Aidha, watu wanaweza kuwa wema bila ya msikiti au kanisa.
 
Nyuma ya washika dini kuna ushenzi mwingi sana.
Ushenzi lazima uwepo, wewe fikiria mtu akasimama mbele ya adhara na kusema atakufikisha mbinguni lkn kumbe ni uongo hata yeye mwenyewe hawezi kufika, mtu akasimama mbele ya adhara na kujiita Mungu( eti sadaka tunamtolea Mungu)
 
Hivi kwanini hawakumnyang"anya lile koti alilojifunika nalo, daah ametia aibu kwa taasisi na familia yake
 
Nimesoma taarifa Yote...nimebaini mapungufu mengi...huyo padri ataachiwa huru..kesi ya kimkakati hi...
 
Nimesoma taarifa Yote...nimebaini mapungufu mengi...huyo padri ataachiwa huru..kesi ya kimkakati hi...
Sawa mkatoliki orijino lazima mteteane ila watoto wenu wanaharibika hivyo
 
Sawa mkatoliki orijino lazima mteteane ila watoto wenu wanaharibika hivyo
Sijatetea ila nakushauri ipe nafasi akili y'ako kufanya Kaz wakati unasoma taarifa hiyo...Kuna mapungufu mengi..mengi Sana..
Hi issue inafanana na ya yule padre wa himo Moshi pia bae alituhumiwa kumpa mimba mwanafunzi aliuekuwa akimsomesha(familia maskini).kesi ilivuta hisia za wengi...uchunguzi wa kina ukafanyika..mwisho was siku ikaonekana kumbe Mama mzazi alimpanga binti Ili amtaje padri na hivyo walipwe pesa nyingi...mimba ilikuwa ya kajamaaa kengine...na walihangaika Sana wale wazaz kuomba msamaha na kesi ifutwe.. na mpaka leo ile kesi haipo Tena..so hata kwa hi ukweli utajulikana maana rayari gapes zipo kibao kwenye taarifa...
 
Kuwasindikiza kila siku au kipindi cha likizo?
 
Wenzie wanakomaa na wake za watu ila ukibambwa unaokotwa kwenye Simtank hapohapo parokiani.
 
Wanafumaniwa sana na wake za watu sema kesi ina malizana chini chini

Ile ishu ya hawa ma askofu sjui mapadri kuuwawa naskia nayo ni kula wake za watu

Kiufupi waruhusiwe kuoa
 
Kiufupi hao mapadri labda ajirini wenye matatizo ya nguvu za kiume au wenye deformation Mfano mtu hana pumbu zote , au hasimamishi

Tofauti na hapo kama ni mzima jua kabisa asipokula mtawa wa kike atakula wanafunzi asipokula wanafunzi atakula wake za watu hapo parokiani asipokula wake za watu basi atazalisha wadada hapo parokiani

Asipofanya yote hayo basi atakuwa anapiga mgalala kwenye vyumba vyao au vyoo hapo parokiani


Kiufupi waruhusiwe kuoa acheni unafki nyie watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…