UPDATE: Padri afikishwa Mahakamani kwa tuhuma za kulawiti watoto 10 Moshi

Ww ndie uliye jificha ili uonekane mtakatifu kumbe ni mandonga!
 
Kubaka watoto ni suala la maadili mabovu. Kweli siku hizi unakosa mwanamke ukalale na mtoto mdogo?
 
Roma wabatilishe kanuni, hawa jamaa waruhusiwe kuoa !! Mungu mwenyewe aliumba Eva alikuwa na maana yake, upinge wewe nani?
Hata wakioa ...ndio unatembea na watoto wadogo? Hivi mapadri shida zao ni kuoa tu?
 
Mam
Nan kakuambia seminari ndo wanapika vijana KUwa padri??? Wapo vijana wengi tu ni mapadri lakin hawajawah pita seminari kbsa.

Upadri ni wito,so kijana akilelewa vizuri anaweza akwa padri bila hata kupita seminar
 
Mambo haya ni magumu sana yani mtu anakula anashiba na kamvinyo anatupiamo halafu unakataza asinyanduane hawa jamaa wanafeli wapi? vitu vingine huwezi kulazimisha nature ni nature tu haiwezekani libaba lizima na akili zake timamu sisiruhusiwe kuoa, hizi mambo ifike mahali na wenyewe wajishtukie bana, mademu woooote waliojaa mitaani leo hii hadi jitu linaenda kufir.;;/.. vitoto aaaghhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ujinga kabisa WAOE hawa JAMMAAA full stop
 
Usichokijua yule padri ni kweli alimtia mimba yule binti ili kuua soo ikabidi ipangwe hivyo, lakini yule binti hadi kesho analelewa na padri,
 
Vijana wa Pengo🤣🤣
 
Kwa nini hawa watu hawaoi sasa , sasa genye wanazitoaje , mwisho Wa Siku ndio wanaanza Fanya huu upuuzi
Kuoa siyo jawabu. Shehe mwenye wake wawili huko Morogoro alipatikana na kosa hilo hilo: kulawiti watatu kwenye shule ya madrasa.
 
Hili ni moja tu kati ya mengi ambayo hayatangazwi.
Hao viongozi ni wachafu kupitilza!
Ninajua. Huyu shetani amelindwa sana na wakubwa ndani ya kanisa. Sasa amekuwa na mapembe ambayo hayajifichi tena. Hata waumini tunayaona. Uharibifu umeingia ndani ya nyumba. Very sad

Ingawa tungepata profile ya huyu Padre ingesaidia pia.....
 
Mam

Nan kakuambia seminari ndo wanapika vijana KUwa padri??? Wapo vijana wengi tu ni mapadri lakin hawajawah pita seminari kbsa.

Upadri ni wito,so kijana akilelewa vizuri anaweza akwa padri bila hata kupita seminar
Bila shaka wew sio mkatoliki....

Padre wa kikatoliki haiwezekani kabisa kuwa padre bila malezi ya kiseminary...iwe seminary ndogo au kuu...


Seminary kwenye ukatoliki...ni eneo wanapoandaa mapadre kama hujui...


Naomba unitajue padre mmoja ambaye hajawahi soma seminary kabisa...akiwepo sivai nguo kuanzia leo
 
🪒
 
“Aliniambia wanapokwenda mafundisho, huambiwa waingie ofisini kuungama ambapo huingia mmoja mmoja na ndipo huwafanyia ukatili huo na kuwaambia kuwa wasiwe na shida na wamchukulie kama baba yao,”[emoji134]
 
Wtf is happening here?
Huyu mshenzi amelawiti na kuharibu maisha ya watoto 10! WATOTO 10??.. cha kushangaza kuna mbuzi zinacomment simple tu. Eti "Aisee hawa watu waruhusiwe kuoa tu" are you fucking joking?...WTF?.... unamaanisha unajaribu kujustify ufala na ushenzi sababu hajaoa?
Kwa hiyo wote ambao hawajaoa waanze kulawiti watoto? fuk this bitchiness.

Mtu yoyote anayeharibu watoto haijalishi ni nani au ana cheo gani anatakiwa achukuliwe ni "mshenzi" kama washenzi wengine. It seems like mapenzi ya dini yamewazidi waafrica mpaka inapelekea wachukulie vitendo vya kikatili na vichafu simplesimple.
Mnatakiwa muwe na hasira na maswala machafu kama haya ili kuhakikisha hayatokei tena na viongozi kuona wananchi wanachukizwa na huu uchafu ili kuchukua hatua kali! instead watu mnaandika na kuchukulia simple kama mmeona post ya celebrity. this shit is highly serious. where's your self respect? where's your fucking rage? fucking simpletons.

Mindsets kama hizo ndio zinapelekea kulea na kukuza watoto kipumbavu matokeo yake wanashindwa kujitetea na kuwa waoga na submissive. Mzazi unatakiwa kuwa mgumu, mkali na katili non-agreeable non-submissive kwenye maswala ya kipumbavu ili ukuze mtoto atakayekuwa kama wewe na atakayeweza kujitetea. hakuna father figures matokeo ndio haya.

Huyo mbwa akamatwe na anyongwe mpaka kifo ili iwe fundisho kwa mbwa wengine kama yeye haijalishi hata kama ana undugu na malaika.
Fuk everybody anayechukulia hili swala zito kirahisi. society is full of cretins and maniac Aholes and psychopaths just like in here! so fuk them all.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…