Unajidanganya ila hongera kwa kujipa likizo ndefu bila malipoJapo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa.
Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe umepumzika kwa muda oyaa hii sirudi nyuma.
Tena nimenunua kabisa pombe nimeziweka ghetto ili nizione.
Ausio
Good luck 🤞Uko sirudi tena