Update: Siku ya 8 toka nimeacha pombe maendeleo ni mazuri sana

Update: Siku ya 8 toka nimeacha pombe maendeleo ni mazuri sana

Qur'an 5:90-91*


يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْخَمْرُ وَالْمَيْسِرُ وَالْأَنصَابُ وَالْأَزْلَامُ رِجْسٌ مِّنْ عَمَلِ الشَّيْطَانِ فَاجْتَنِبُوهُ لَعَلَّكُمْ تُفْلِحُونَ


إِنَّمَا يُرِيدُ الشَّيْطَانُ أَن يُوقِعَ بَيْنَكُمُ الْعَدَاوَةَ وَالْبَغْضَاءَ فِي الْخَمْرِ وَالْمَيْسِرِ وَيَصُدَّكُمْ عَن ذِكْرِ اللَّهِ وَعَنِ الصَّلَاةِ ۖ فَهَلْ أَنتُم مُّنتَهُونَ



Tafsiri yake kwa Kiswahili:


90. Enyi mlio amini! Hakika pombe, na kamari, na masanamu ya kuabudiwa, na mishale ya kupiga ramli, ni uchafu miongoni mwa kazi za Shetani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufaulu.


91. Hakika Shetani anataka kutia baina yenu uadui na chuki kwa njia ya pombe na kamari, na akuzuilieni kumtaja Mwenyezi Mungu na Swala. Basi je, nyinyi ni wenye kuacha?
 
Hata ukiziweka ndani haisadii kuacha, inahitaji maamuzi magumu zaidi ya hayo
Mimi ninajijua sio wa kukaa siku 8 bila alcohol kwangu haya ni mafanikio makubwa sana ili kujipima uvumilivu wangu nimeziweka ghetto ili nizione
 
Pambana uache papa, huu nao ni utumwa, wengine tumeacha maana libido imeshuka(sijui nini hiki maniner)😭
 
Back
Top Bottom