Inatakiwa ukifikisha mwezi mmoja ujipongeze na walau tubia tuwili tutatu.Japo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa.
Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe umepumzika kwa muda oyaa hii sirudi nyuma.
Tena nimenunua kabisa pombe nimeziweka ghetto ili nizione.
januari watoto shulehakuna uhusiano wa mimi kuacha pombe na kuyumba kiuchumi
Hii likizo ina malipo, kila siku analipwa hela za bia 10 na anaziweka kibindoni.Unajidanganya ila hongera kwa kujipa likizo ndefu bila malipo
Labda apumzike tu ila hiyo kitu kuiacha atakuwa ameifanyia ukatili wa kijinsiaUmepumzika tu Kijana 😀
Lakini jifunze kunywa kwa kiasi
Ungemalizia kwa kiswahili hiyo last sawaNaungana na wewe, yesterday was my last
Hongera mkuu hata kama utarudi sio kwa kiwango kile cha awaliJapo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa.
Company yangu ya ulevi imehuzunika sana baada ya juzi kunipatia invitation nikawaambia nimeacha pombe wengi hawakuamini ila ndio hivyo....maneno yao mengi ni utarudi tu kunywa pombe wewe umepumzika kwa muda oyaa hii sirudi nyuma.
Tena nimenunua kabisa pombe nimeziweka ghetto ili nizione.
Hawezi kuacha hata kwa dawaMkuu njoo hapa kutambaa cheupe mara moja kuna kitu nikuambie mkuu..
Unapoteza pongezi zako bure hamna mtu wa kuacha pombe hapoHongera mkuu hata kama utarudi sio kwa kiwango kile cha awali
4 years of being SOBER...!Japo sometimes Kiu inakuwa kali Arosto za hapa na pale , kukosa usingizi ila niendelea kukazaa kisawasawa.