Wakuu, kuna rafiki yangu nchini Rwanda ananiambia Rais wao kafariki ila serikali imeficha taarifa hii. Kuna uvumi tu mitaani huku kukiripotiwa mgawanyiko wa siri jeshini na usalama wa Taifa.
Inadaiwa kuna watu wanataka Ivan Kagame ndiye awe Rais na wengine wakimtaka mkuu wa zamani wa jeshi James Kabarebe. Ivan ni mwanaye Kagame na pia mlinzi wake kwa siku za karibuni. Inadaiwa Kagame hajaonekana hadharani kwa majuma matatu sasa.
Hata mkataba wa Amani kati yake na Congo haujasainiwa 15 June 2025 kwa sababu hizi.
Pia kumekuwa na uvumi kwa muda mrefu kuwa Kagame anaugua kansa ya ubongo na anaishi kwa dozi.
Sijui Congo au Belgium wamefanya yao.