TITHO SANGA
Member
- Jul 20, 2015
- 99
- 13
Hivi Lowassa ana shati moja tu
ukitaka uzi wa Magufuli nenda page #8 ya jukwaaHizi habari magamba hawazitaki kuzisikia kabisa
Na bado wataisoma namba hizo ni rasha rasha bado kampeni ahhahahahahaShauri yao, Dar mpaka Mbeya hakuna hats MTU mmoja aliyepata hats mchubuko sasa wao wasianze na mambo yao.