juve dominicky
Member
- Aug 7, 2015
- 8
- 0
Arusha wamegoma wanamtaka Dr Slaa wao hawamtaki huyo mkimbizi wa muda. Hujanaona mabango yanasema Tuleteeni Dr Slaa wetuarusha ukawa imedoda nini?
Arusha wamegoma wanamtaka Dr Slaa wao hawamtaki huyo mkimbizi wa muda. Hujanaona mabango yanasema Tuleteeni Dr Slaa wetu
Tunamkaribisha Rais Edward Lowassa Arusha
Arusha mbona mnazingua?. Nyie veeepe?
Niko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...
Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR MagufuliNiko uwanjani hapa tindigani watu Ni wengi sana na bado wanaendelea kujaa Kwa wenye usafiri mnashauriwa kupark magari, pikipiki kwenye shule ya Msingi iliyoko karibu vinginevyo huku hutopata pakuegesha gari...
Wana Arusha/Watanzania wanakuja kumwangalia FISADI akirekodi Mapicha ya Mafuriko ya Watu badala ya Maji. Lakiri Kura zao ni kwa Chama Dume CCM Chini ya Jembe DR Magufuli