Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Hana maana huyo jamaa, "mtu mkubwa ovyo" hasa alipokuwa wizara ya mambo ya ndani

Wewe mwenye maana kwako ni nani ni ccm tu? Kwa ukawa ana maana sana tunawahitaji wengi na bado watakuja wengi.
 
Mafuriko ya Mh.Lowasa leo yapo Arusha,mji umesimama!!
 

Attachments

  • 1439648397183.jpg
    84.2 KB · Views: 26,777
  • 1439648449543.jpg
    39.2 KB · Views: 19,865
  • 1439648484934.jpg
    26.7 KB · Views: 19,209
  • 1439648506201.jpg
    26.5 KB · Views: 2,847
  • 1439648536077.jpg
    136.4 KB · Views: 2,715
TUMEANZA NA MUNGU NA TUENDELEE NA MUNGU NA TUMALIZE NA MUNGU, 25_10_2015 sio mbali MUNGU akipenda asubuhi na mapema kichinjio mkononi, mwisho wa ubishi
 
hv makapi ya CCM huwa hayapigi kura? angalien angalu hilo kama akili zenu haziona mbali
 
Kama Wazee wote wa Kimasai wanajiunga na CHADEMA, hapo ndipo kosa linapotendeka. CHADEMA wasubiri maumivu
 
hii safi sana maana hata el akishinda kwa uhakika kabisa ataunda serikali yenye 4u movement wengi pamoja na friends of el. M4c na bavicha watakuwa wachache sana, kwa maana nyingine itaundwa serikali ya ccm ndani ya ukawa. Anaebisha abishe tu.

Humjui Mbowe wewe, subiri tu utajionea mwenyewe.
 
Kama Speed ya Kukiama Chama Itakuwa Hii Hii, Sidhani Hata Octber Itafika Atakuwa Amebaki Mwenyekiti wa Taifa Tu.Hata Hivyo Nia CCM Wakae Pembeni Ili Kujisafisha
Cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga CHADEMA asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya Kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.
 
Mmevurugwa ccm.

Mapombe ataongoza watu waadilifu gani.?

Chenge wa escrow

Tibaijuka wa escrow

Ngeleja wa escrow wana uadilifu gan wale?

Bye bye ccm

Endeleeni kujifariji na makapi yenu. Mtu anahama chama kwa kuwa mtoto wake kakosa ubunge wa viti maalumu? Lowasa ni fisadi na ndio maana kamati ya maadili imemkuta na matatizo lukuki.
Yakiisha makapi yote, CCM itakuwa chama salama, chenye kufuata misingi.
 

chief, kuna mtu alidondoka jukwaani wakati wa kampeni 2010 na alikuwa anasafiri na ambulance pembeni lakini ndiye yupo ikulu leo.

nadhani sasa ndiyo wakati muafaka wa kuzingatia ushauri aliowahi kuwapa mwenyekiti wa chama chenu kuwa mjiandae kisaikolojia kwa lolote litakalotokea 25 October.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…