Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Eti wanasema magufuli na yeye anaweza kuamia UKAWA.
Savimbi naweeeeee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti wanasema magufuli na yeye anaweza kuamia UKAWA.
Hana maana huyo jamaa, "mtu mkubwa ovyo" hasa alipokuwa wizara ya mambo ya ndani
Mmevurugwa ccm.mkuu kimbumga, kinachotokea sasa ni ile operation ya kuvua gamba inakamilishwa rasmi. Makapi yote yanajitoa yenyewe na CCM itabaki kuwa safi. Magufuri ataongoza watu waadilifu.
Ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
pombe mwisho kaunta ha ha ha
CCM ina hazina kubwa ya wapiga kura. Hao mafisadi si sehemu yaohv makapi ya CCM huwa hayapigi kura? angalien angalu hilo kama akili zenu haziona mbali
Duuuh! aiseeee, una roho ngumu!!!! huoni aibu?Ccm juuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
hii safi sana maana hata el akishinda kwa uhakika kabisa ataunda serikali yenye 4u movement wengi pamoja na friends of el. M4c na bavicha watakuwa wachache sana, kwa maana nyingine itaundwa serikali ya ccm ndani ya ukawa. Anaebisha abishe tu.
Cha kufurahisha ni kwamba wanaojiunga CHADEMA asilimia kubwa ni wa kutoka mikoa ya Kaskazini. Maeneo mengine hali ipo kimya.Kama Speed ya Kukiama Chama Itakuwa Hii Hii, Sidhani Hata Octber Itafika Atakuwa Amebaki Mwenyekiti wa Taifa Tu.Hata Hivyo Nia CCM Wakae Pembeni Ili Kujisafisha
Mmevurugwa ccm.
Mapombe ataongoza watu waadilifu gani.?
Chenge wa escrow
Tibaijuka wa escrow
Ngeleja wa escrow wana uadilifu gan wale?
Bye bye ccm
Mkuu Bukanga ni kwamba Dr. John Joseph Pombe Magufuli, mgombea kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) ndiye ataibuka mshindi wa kura zitakazopigwa tarehe 25/10/2015 kama tutafika salama taarehe hiyo na uchaguzi usiahirishwe. Ya Mungu mengi kumbuka Jumbe wa CHADEMA mwaka uleeeee alisababisha kuahirishwa kwa uchaguzi.
mmeambiwa huo ni moto wa mabua, subirini kampeni zianze na watu waanze kuzungumza majukwaani ndipo moto wa mabua utakapokutana na moto wa tipper.