Magamba magamba why always you lakini, mwaka huu mtaisoma
Tunajua alichohongwa Lipumba. Tulikuwa hatutaki kusema, lakini kwa kuwa mmetuchukoza, basi ngoja tumwage nyigu hapa.-
Kwamba wale vijana wawili aliokuwa nao wakimlinda ni maafisa uslama wa taifa kutoka kikosi cha ulinzi wa viongozi pale Kijitonyama (PSU). Alipewa na Othman Rashid kama sehemu ya makubaliano ya mradi wao. Ikumbukwe kwamba Othuman ndiye aliyemdanganya Kikwete kwamba Lowassa hata akikatwa hatatoka CCM.
Kingine alichoahidiwa ni kupewa nafasi ya mshauri wa uchumi kama Magufuli akishinda. Hii ni nafasi aliyokuwa nayo wakati wa utawala wa Mwinyi.
Othman anaendesha Idara kiajabu sana, nimepata taarifa tena kwamba amepeleka vijana watatu zaidi ili wamlinde Gharib - mmiliki wa home shopping center. Huyu ni mfanyabiashara mwenye asili ya kiarabu. Ameongezewa ulinzi kwa sababu ni mtu muhimu kukusanya fedha kwa ajili ya kampeni za Magufuli.-
Anafanya kazi hiyo akishirikiana na Said Lugumi ambaye wiki iliyopita alikwenda Israel kwenye mradi hewa unaohusisha jeshi la wananchi. Mradi wenyewe wanaosema ni kwa ajili ya kunua accessories za kijeshi uliandikwa kugharimu dola milioni 12 lakini gharama halisia ni dola milioni mbili.-
Lugumi katumia dola milioni moja kuhonga hazina na jeshini ili wakubali kughushi nyaraka, halafu kiasi cha dola milioni 9 zilizobaki kazigawanya mara mbili; nyingine kazipeleka kwenye kampeni ya magufuli na nyingine kazipeleka kwenye ujenzi wa jengo la kifahari karibu na tanganyika international school pale oysterbay. Hilo jengo ni la Kikwete mwenyewe.-
Nmemwaga ugali, nimeamua kumwaga mboga na kuvunja vungu.
Posted by:-Saed Kubenea-
Source
www.mwanahalisionline.co.tz