Elections 2015 Updates Kutoka Arusha: Mkutano wa kumtambulisha mgombea Urais kwa tiketi ya CHADEMA

Then you are naive ikiwa unafikiri ufisadi unaondoka na hao walioondoka! Ufisadi huko emboded into the utteries of our system, you need to break it before it is treated. Hivi kweli unafikiri ufisadi mkubwa mkubwa uliolikumba hili taifa ulikuwa wa mtu mmoja mmoja...ingekuwa hivyo ungeshaisha zamani sana.
 
Nimefurahishwa na bango hilo "Jiwe walilolikataa CCM limekuwa jiwe kuu la UKAWA" CCM jipangeni upya kazi mnayo!
teh teh teh teh teh teh.
 
Uhuru = CCM yaendelea kupasuka. (Makada wengi waendelea kukihama chama )
 
Mkuu tupo wamoja kama Lowasa na watanzania

Hakika Mkuu, tutapambana mpaka tone la mwisho la damu. Lazima LOWASSA aingie Ikulu!!!!

CCM ni chama cha kishenzi kupitiliza!

Mpaka sasa Wanaendelea kuvunja kanuni za uchaguzi lakini Li-tume lao liko kimya tu!

Uwaziri wa ujenzi wa Magufuli ulipaswa kukoma pale tu alipoamua kugombea Urais, lakini Mpaka leo kichwa box Kikwete

anazunguka naye na kumsifu, huku na kule, Nawachukia hawa taka taka kuliko ninavyomchukia shetani!!
 
ha ha ha!bora kutokuwa mshabiki wa mwanasiasa.watu wa kanda ya kaskazin kwa ujiko,hatar!mwaka huu lowasa akishndwa mtajinyonga..!

hayo ni mawazo yako,ila mjue 2015 ni tofauti na 2010 leo waliojiandikisha ni wengi mno na hawa wanahitaji mabadiliko safari ihi ccm haichomoki hata kwa goli la mkono ccm haitakiwe tena na wananchi.
 
MUSOLLIN5@
Kijana umetuangusha sana, Hivi unajua mateso unayo tupa sie wa mikoani? kama kuna msaada unahitaji ungesema ili tupate hizo picha na update nyingine tafadhali

Kwakweli Ni shida ya mtandao. Tumekua uanjani ila network ililemewa kabisa. Sisi sote tumesha ndwa kurusha updates
 
haya mafuriko zoa zoa jaman...dah usishangae nape naye akisombwa teh
 
UKAWA.....ukawa....ukawa....ukawa.....kila kona ukawa,Magazetini ukawa,radioni...ukawa.....facebook....ukawa.....twiter...ukawa....ila kwenye sanduku la mpiga kura....ni... ccm...

Hilo lazima litakuwa ni 'goli la mkono' kwa mbinu ambayo hatujaijua bado.
 
UKAWA.....ukawa....ukawa....ukawa.....kila kona ukawa,Magazetini ukawa,radioni...ukawa.....facebook....ukawa.....twiter...ukawa....ila kwenye sanduku la mpiga kura....ni... ccm...

Kama "Ngoma" CCM ililia sana ikaja(itakuja) kupasuka mwaka 2015, yaani zaidi ya miaka thelathini, UKAWA ndiyo kwanza just the beginning.
 
Akitumia dakika tano kuzungumza na wanaukawa huko jijini Arusha lowassa amesema ataliongelea suala la kilichokuwa kiwanda bora Afrika Mashariki ambacho sasa kimeachwa kama gofu.


Lema amekuwa akimtuhumu mara kwa mara kwamba El ndio aliyekifilisi kiwanda hicho na sasa ndiye mmiliki wake.

wadau wa Arusha wataendelea kusubiri majibu hasa ukizingatia kurudishwa kwa General tyre serikalini ilikuwa ni moja ya ajenda na ahadi ya lema akigombea ubunge mwaka 2010.


KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…