UPDATES: Mahakama ya ICJ yaitaka Israel kuepusha Mauaji ya Raia katika eneo la Gaza

Israel itaendelea kusafisha Gaza na kuondoa magaidi wa dini...

Israel rejects the “vile” attempt to deny its right to defend itself and will continue to battle Hamas, Prime Minister Benjamin Netanyahu declares following a provisional ruling of the International Court of Justice calling on Jerusalem to take measures to prevent the commission of genocidal acts against Palestinians.

“Israel’s commitment to international law is unwavering. Equally unwavering is our sacred commitment to continue to defend our country and defend our people,” Netanyahu says in an English-language video posted online.
 
Kama majaji wote ni wakiristo ulitegemea nini? Mkiristo wapi wapi kumpendelea muislam? Mkiristo rafiki yake myahudi. Lkn Allah atajaalia ushindi mkubwa Palestina
 

Kuna mahali hukufuatilia vizuri.

Pamoja na hayo yote uliyoyasema, kama hatua ya haraka, South Afrika iliiomba mahakama itoe amri ya kusimamisha vita.
 
Wenye akili fupi kama wewe ndo mnakua October 7, watu wanapitia madhila miaka na miaka, kuna number of massacres zimefanywa.
muwage na akili nyie

Ni uwongo kusema Israel imekuwa ikiwaua wapalestina miaka na miaka. Huo ni uwongo mkubwa.

Kama unayoyasema ingekuwa ni kweli isingewezekana wapalestina wakati wote wawe wanajitahidi kupata kazi Israel. Ufahamu mwaka 2023 pekee kulikuwa na wafanyakazi takribani 300,000 wapalestina wanaofanya kazi ndani ya Israel wakitokea na kurudi Gaza kila siku. Hawatafuti kazi Misri, Labanon wala Jordan.

Muda wote hakuna askari wa IDF ndani ya Gaza wala Westbank.

Vifo vya uhasama vimekuwa vikifanyika kwenye maeneo ya mpakani yanayotajwa kuwa ni ya Wapalestina lakini yanakaliwa na wayahudi, kwenye vivuko vya mpakani, na mara chache, ndani ya Israel. Na vifo hivyo vinasababishwa na Hamas. Wengine wamekuwa wakiwashambulia kwa risasi wayahudi waliopo maeneo ya mpakani, hadi Israel ikaamua kuwapa waisrael waishio mpakani haki ya kumiliki silaha ili kujilinda. Na kuna Hamas ambao huwa wanawashambulia askari wa Israel wanaolinda vivuko, na wengine huingia ndani ya Israel na kujilipua (hasa kipindi cha nyuma). Kama ilivyo kawaida, hao magaidi wa Hamas wakifanya mauaji yoyote dhidi ya Israel, majibu ya Israel yanakuwa makubwa, na hapo ndipo malalamiko hutokea. Lakini wapalestina wasipowashambulia waisrael huwezi kusikia mauaji ya Wapalestina.
 
walikuwa hawajafikisha idadi maana wao ukiua Myahudi mmoja wao wataua 50, kama ni 30,000 bado hawajatimiza lengo kufikisha 35,000 maana waparestina waliua wayahudi 700
 
Hukumu ya leo imedhibitisha kuwa kweli Israel haifuati sheria za kimataifa maana Israel ingekuwa ina fuata sheria za kimataifa kama inavyo dai mahakama ingeyatupilia mbali madai ya S.Africa kuwa hayana msingi.
Of course, kuna madai ya South Africa ambayo ICJ imeona hayana msingi na imeyatupilia mbali, likiwemo la kuitaka ICJ iiamuru Israel kusimamisha vita (ceasefire).

Kwa kiasi kikubwa, maamuzi ya ICJ ni tofauti kabisa na kile South Africa iliiomba ICJ ifanye.
 
Kwahio we kuabudu makaburi ghafla umekuwa mwafrika halisi
[emoji1787][emoji1787]
Bangi msivute mkiwa na njaa.
Ni hatari sana kichwani.
Kula kwanza ushibe.
Kuabudu makaburi ni Bora mara mia kuliko kuabudu masanamu ya wazungu na waarab kama mfanyavyo nyie mikafiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…