UPDATES: Tamasha la Miaka 30 ya Bongo Fleva | Mlimani City | 10.07.2026

Kwa Fujo halisi ni Abubakar Sadiki wa Radio One, ikatoka kua jina lake likawa la Group of Djs. Ili washindane na Nyuki DJs (Clouds FM).

Group likafa Abubakar akaendelea na jina lake
Yes hapa nimekumbuka hili jina na ile tag yake. Ila sikuwa nakumbuka nimesikia rdido gani, nilidhani Clouds. Ila ni miaka ile ile 2010 pale.
Mara ya mwisho kusikiliza redio ni 2016.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…