Greatest Of All Time
Platinum Member
- Jan 1, 2017
- 26,550
- 62,019
- Thread starter
-
- #741
Kwa heshima ya Albert Magwea
Pakubwa sanaJ mo ametudhulumu sana..
viatu vya ali choki vilikuwa wazi huku kwenye visiginoππ
Tshirts za Nelly pia zilitamba sana
Unakumbuka Diamond Jubilee
Tumetoka mbali aiseee ππKala pina aliwahi kumteka Salama Jabir
Wengine wanasema alimtolea posa Mr Blue pamoja na Voice Wonder
Sijui ukweli upoje
Na tshirt isyokuwa na mikonoVile viatu havikuwa na kamba, unachomeka tuu. Viliitwa ALI CHOKI, sababu alichoki ndio alipenda sana kuvivaa na vika trend kama fasheni.
Ulikuwa ukipiga pensi ya jeans, vinapendeza sana. π
FILA,FUBU,Ma nguo ya G-Unit yaleVile viatu havikuwa na kamba, unachomeka tuu. Viliitwa ALI CHOKI, sababu alichoki ndio alipenda sana kuvivaa na vika trend kama fasheni.
Ulikuwa ukipiga pensi ya jeans, vinapendeza sana. π
Huku kwetu nyie wa style hizo tulikuwa tunawaita kina tozi nyangema ππ
Na tshirt isyokuwa na mikono
Sio huyo tu nilitoka kubishana na bro wangu mwanzoni namwambia ulinambia rafiki yako saigon amekua maalim mbona namuona tena huku akabaki anacheka tuπππSi walisema huyu Kalapina ni ustaadhi siku hizi π
Si walisema huyu Kalapina ni ustaadhi siku hizi π
Yeah may his soul R.I.PKwa heshima ya Albert Magwea