Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
63,730
Reaction score
111,542
Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.

===

Video: Mwananchi
Mwanasiasa Upendo Peneza anasema wakati anaingia CHADEMA kilikuwa chama cha kawaida kabla ya yeye kukisaidia kukua kwa kasi.

Pia soma: Upendo Peneza ahamia CCM, awananga CHADEMA

View attachment 2991345

===

Kama tunakwenda Tanga nilikuwa nauliza kama kuna nafasi kwenye gari. Ili kwenda kwenye hizo operesheni Sangara nafasi ya gari ilikuwa haikosekani. Nilikuwa nachukua pocket money ambayo nilikuwa napewa na wazazi wangu

Pia nilikuwa na marafiki ambao niliwaambia kuwa nimejiunga na siasa walikuwa wakinisapoti. Nilikuwa nikienda kwenye safari najilipia chumba cha kulala (hotel). Najihudumia kila kitu ili lengo nipate hiyo nafasi ya kushiriki na nafasi ya kuonekana.

Nilianza kupewa kazi ya kutangaza mkutano kwenye gari na kuita watu. Unaitwa watu waje kwenye mkutano lakini ukifika uwanjani hakuna watu na kipindi hicho CHADEMA ilikuwa haijakua kiasi hicho. Baadaye ndio Mwenyekiti anakuja na chopa na watu wanakuja kusikiliza ujumbe.

 
Sasa umeleta huu uzi wa nini? Kama hauna habari kamili?

Punguza mihemko kaa tulia utuletee hanari iliyojitosheleza
Nimesema hili jambo ni mubashara. Mwenye nafasi anaweza kusikiliza, asiye na nafasi halazimishwi. Sio jambo la Siri utake nikuletee kinachojadiliwa huko ndani. Acha kupanick, unasema huna nafasi ya kusikiliza ila uko jf unajadili!
 
Nimesema hili jambo ni mubashara. Mwenye nafasi anaweza kusikiliza, asiye na nafasi halazimishwi. Sio jambo la Siri utake nikuletee kinachojadiliwa huko ndani. Acha kupanick, unasema huna nafasi ya kusikiliza ila uko jf unajadili!
Umesema LIVE, basi let updates za nini anaongea. Nyuzi zingine hazina content, unataka tujadili nini kama hakuna chochote unachotujulisha kuhusu hayo mahojiano.?
 
Back
Top Bottom