Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 63,730
- 111,542
- Thread starter
- #41
Sahihi, yeye anasema hizo fedha 1.5 kwa wabunge wa viti maalum, na lako tano kwa Kila mbunge wa jimbo walizokuwa wanachangishwa zikafika 5b+, waliambiwa zitatumika kuwezesha wagombea wakati wa uchaguzi wa 2020. Lakini hawakuziona wakati wa uchaguzi ule. Na maelezo yake hayanyooki.Hili shtaka mbona Mwikabe Waitara aliliibua akiwa TAMISEMI nakumbuka TAKUKURU walichunguza ila wakaona hakuna ufujaji wa pesa. Same to CAG alifanya forensic audit kwa CHADEMA hiyo 2020 mbona hakupata ushahidi? Hivi JPM alivyochukia upinzani angegundua ufisadi si angekifuta chama kabisa!!