Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeongea jambo jema sana. Huwezi kutoa shutuma kwenye media bila kuwapa nafasi ya kujibu unaowatuhumu.Huwezi kualika mtu mmoja kuongelea wengine wakati hao wanaoongelewa hujawaalika waweze kujitetea. Hiyo ni nia ovu.
Hakuna uwezekano wa yeye kusema ukweli akiwa ndani ya cdm. Lakini hiyo haiondoi ukweli sasa kuwa Kuna baadhi ameongea ya kweli. Ni juu ya cdm kama taasisi kufanyia kazi mapungufu aliyosema, Ili cdm iwe taasisi bora zaidi.Kwa nini hakusema haya hadhara ni wakati akiwa CHADEMA?
Huu ni unafiki pro max
Akapate wapi zaidi ya magoliHawaja mpa hata kacheo jamani huko
Ova
Swali LANGU ni kuwa,Weka swali lako vizuri, maana kama ni tofauti ziko nyingi, mmoja ni me na mwingine ni ke. Tofauti kwenye nini hasa?
Nadhani haikuwa mdahalo Bali alialikwa yeye kwenye kipindi. Hata watu wa cdm tumekuwa tukiwaona wakialikwa bila uwepo wa watu wa vyama vingine. Hiyo Redio ipo, mwanacdm yoyote aliyeona upotoshaji anaweza kwenda na kuweka rekodi sawa.Umeongea jambo jema sana. Huwezi kutoa shutuma kwenye media bila kuwapa nafasi ya kujibu unaowatuhumu.
Hawa Clouds wajitafakari na huu ndio umekuwa utaratibu wao, ingawa sijawahi kusikia wakifanya hivyo kwa watu wa serikali na CCM.
Political prostitution ,hamna jipya hapo anajua mwaka wa nne huu mwakani uchaguzi na mpaka anaongea hivyo kashapata bwana mwingine (chama)Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mb
owe hadharani.
Wewe nae ni msengeUkiwa na muda baadae utatazama kupitia YouTube ya clouds alichoongea.
Huo ndio utaratibu wa chama ambao alipaswa kuufuata. Na anasema hakuwa na tatizo na kutoa hiyo pesa, bali matumizi hayakuendana na malengo.Swali LANGU ni kuwa,
Ikiwa hakupenda Utaratibu huo wa kuchangisha wabunge kiasi Fulani Cha pesa kubaki kuendesha chama,
Kwanini asipinge Utaratibu huo akiwa CHADEMA?
Naongelea point ya hypocrisy!!
Women hawanaga koromeo,Dada anafunguka vibaya huko clouds FM kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.
Ndio nasemaje,Huo ndio utaratibu wa chama ambao alipaswa kuufuata. Na anasema hakuwa na tatizo na kutoa hiyo pesa, bali matumizi hayakuendana na malengo.
Well Noted MkuuNdio nasemaje,
Huo Utaratibu ikiwa hakupendezwa nao,
Kwann hakuhoji ndani ya chama au aitishe mkutano au press kama Lissu Ili aseme Kweli kama Lissu alivyokemea Rushwa?
Mkuu Nini huelewi hapo, kasema hakuwa na tatizo na utaratibu wa kuchangia chama, bali pesa haikutumika kwa mujibu wa malengo. Kama ni kuhoji utajuaje kama alihoji huko vikaoni na hakukuwa na maelezo sahihi?Ndio nasemaje,
Huo Utaratibu ikiwa hakupendezwa nao,
Kwann hakuhoji ndani ya chama au aitishe mkutano au press kama Lissu Ili aseme Kweli kama Lissu alivyokemea Rushwa?