Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Malaya ni malaya tu mkuu
Hapo ndipo tunakosea. Yaan CDM mnaona ni chama cha malaika. Hamtaki iguswe kabisa. Ikiguswa tu, anayegusa anatukanwa. Tukienda hivyo hatutafika.

Wakati wa mgogoro na Zitto Kabwe nilifika pale ufipa Kinondoni, nikashuhudia Dr Slaa anamtukana matusi ya nguoni jamaa mmoja ambaye alikuwa mhasibu, kwa madai kwamba anapeleka Siri kwa Zitto.Wakati huo Dr Slaa akiwa katibu mkuu wa chama.

Aikuchukua muda yule jamaa akapigwa sumu, kwenye kilevi. Lakin akapona kwa bahati. Na akakimbia, mbali na CDM. CDM sio malaika, wana mfumo wa sumu kama CCM, hauachi glass ya maji ukaenda msalani.
 
Upendo Peneza angejikita kueneza itikadi ya chama chake kipya. Anachokifanya ndo kinasababisha vijana wasiaminike na mwishi wa siku watu kama kina Mzee Wasira kuendelea kupeta. Asichokijua ni kuwa CCM hasa ya sasa haiteui kabisa wahamiaji hovyohovyo. Mfano mzuri ni Suphian Juma. Hadi leo anatapatapa. Lakini siwezi kudharau POWER OF PUSSY kwahiyi huenda akalamba teuzi.
Mkuu huyo dada alikuwa kwenye kipindi, na alikuwa anajibu anachoulizwa. Hata hayo ya ccm kaulizwa, na alijibu katika mfumo uleule wa uchawa Ili apate maisha.
 
Mkuu Nini huelewi hapo, kasema hakuwa na tatizo na utaratibu wa kuchangia chama, bali pesa haikutumika kwa mujibu wa malengo. Kama ni kuhoji utajuaje kama alihoji huko vikaoni na hakukuwa na maelezo sahihi?

Nasemaje, ikiwa hakupendezwa na matumizi ndani ya chama,

Kwanini hakuhoji hayo kama TUNDU Lissu Ili wananchi tuyapime!!?

Ikiwa akishindwa kuhoji au alihoji na akazidiwa HOJA na kunyamaa ndani ya chama,

Nje ya chama kuyaongea huo ndio unafiki ambao ni auongelea.
 
Mkuu Nini huelewi hapo, kasema hakuwa na tatizo na utaratibu wa kuchangia chama, bali pesa haikutumika kwa mujibu wa malengo. Kama ni kuhoji utajuaje kama alihoji huko vikaoni na hakukuwa na maelezo sahihi?
Mbowe yupo kibiashara zaidi. Ndio maana, hataki kuachia uenyekiti. Yupo hiari haya mambo ya CCM na ufisadi wao uendelee, huku yeye anaendelea na biashara yake ya ruzuku na wabunge.

Yaan akipata wabunge let say 100.Kila mbunge akatoa one million kwa mwezi, ni 100,000,000 kwa, mwezi. Kwa mwaka anapata 1.2 billion. Kwa five years anapata 6 billion. Kwann atoke kwenye uenyekiti??? Hapo bado ruzuku ya 2 billion.
 
Nadhani haikuwa mdahalo Bali alialikwa yeye kwenye kipindi. Hata watu wa cdm tumekuwa tukiwaona wakialikwa bila uwepo wa watu wa vyama vingine. Hiyo Redio ipo, mwanacdm yoyote aliyeona upotoshaji anaweza kwenda na kuweka rekodi sawa.
Nimewahi kuona mara kadhaa ukinukuu vifungu vya sheria. Hii inanitengenezea picha kuwa angalau unatambua kuhusu haki ya asili ya kusikilizwa.

suala sio mdahalo au mahojiano nk. Ni tuhuma zimetolewa. Je huko mahakamani wanaweza kusikiliza upande mmoja? Sijaona popote ukisema hao wanaotuhumiwa walialikwa na hawakufika.
 
Back
Top Bottom