Pre GE2025 Upendo Peneza aeleza sababu za kuondoka kwake CHADEMA

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Tindo

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2011
Posts
63,730
Reaction score
111,542
Dada anafunguka vibaya huko kuhusu mambo ya cdm. Anamuanika Mbowe hadharani.

===

Your browser is not able to display this video.
Video: Mwananchi

Sasa umeleta huu uzi wa nini? Kama hauna habari kamili?

Punguza mihemko kaa tulia utuletee hanari iliyojitosheleza
Nimesema hili jambo ni mubashara. Mwenye nafasi anaweza kusikiliza, asiye na nafasi halazimishwi. Sio jambo la Siri utake nikuletee kinachojadiliwa huko ndani. Acha kupanick, unasema huna nafasi ya kusikiliza ila uko jf unajadili!
 
Umesema LIVE, basi let updates za nini anaongea. Nyuzi zingine hazina content, unataka tujadili nini kama hakuna chochote unachotujulisha kuhusu hayo mahojiano.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…