Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Mazoezi bila mpangilio wa kula ni kazi bure. Mtu unafukia miwanga , bia , kitimoto etc halafu kila siku uko gym, my friend utakuwa tufe.
 
Dada anafanya mazoezi huyu lakini minyama haimuishi. Madaktari hii imekaaje?
 
Thanks my dear snowhite for appreciating I love you pia my dear.
Dah na mimi nakupenda [emoji179][emoji177][emoji177][emoji8][emoji8][emoji3590] hata sijui kwann
 
Dada anafanya mazoezi huyu lakini minyama haimuishi. Madaktari hii imekaaje?

Mwili unatokana na misosi tu ,mazoezi ni % ndogo sana yanapunguza mwili.

Hata ukifanya mazoezi masaa 24 kama unaendelea na utaratibu wa kula vile vile lazima utafutuka tena mara nne ya awali.
 
Mwili unatokana na misosi tu ,mazoezi ni % ndogo sana yanapunguza mwili.

Hata ukifanya mazoezi masaa 24 kama unaendelea na utaratibu wa kula vile vile lazima utafutuka tena mara nne ya awali.
Huyu anafanya mazoezi sana jamani. Ilitakiwa nyama zipungue kidogo..ila kama unavyosema atakuwa anafakamia msosi kupita maelezo
 
Huyu anafanya mazoezi sana jamani. Ilitakiwa nyama zipungue kidogo..ila kama unavyosema atakuwa anafakamia msosi kupita maelezo
Eheee anafakamia kama kawaida,unene ni kula sana tu so soultion ya kupungua ni kupunguza kula sana yaani utapungua bila zoezi.

Namuona sana anafanya mazoezi ya kukimbia Ununio na Bahari Beach.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…