Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?



💕💕💕Kuna wanawake ukimuuliza anakuambia ndoto zangu ni kuolewa ndo yanatokea hayo Sasa..mradi na ww uitwe mke wa fulani..hapana aisee
 
Mnhhh uachike uumie..mwenzako anaoa wewe unabaki na donda la roho...akitokea mtu yeyote akakupa 'attention' huyo huyo unae..unasomba kama gari la mchanga...sad, very sad. Wanawake tunadhania tunaweza ku 'hit' back kwa waliokua wapenzi wetu kwa kutuachia majeraha ila kiukweli tunaoumia ni sisi wenyewe...anyway asanteni kwa kunijulisha mtu wa kufollow insta..mie nilikua simjui atii...😀
 
Mbona Leo mnashangaa wkt mlikua mnamshauri nyakoo afanye hivi ukishirikiana na cariha imekua ajabu tena[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] yeye aliomba ushauri sasa sie tungefanyaje? Na hata km huon mwanaume katoka nae kavuta huyo kibenteni na ndoa juu, tit 4 tat.
 
Kufanya mahusiano na wanawake wanaojifanaya/wanaoigiza kuwa wanajua harakati za wanawake huwa ni changamoto sana...

Utagombana nae almost kila siku kwa mambo yasiyohitaji marumbano yote kwasababu atataka kukuonyesha kuwa ana maamuzi binafsi haamuliwi.

Hivi vibwana mdogo vi marioo a.k.a ndio mzee ndio kimbilio lao maana hauwa vinaufyata kwasababu vinalipiwa bili zote na bi dada.

Sasa huu ni mzaha kwa taasisi hii takatifu. Kama unajua haupo serious na mahusiano ya ndoa why unaigiza kuingia na watoto wadogo.....?!

Wanawake wa bongo wengi wao mizinguo sana.
 


😛😛😛Mie siko insta Ila huyu mama ni famous....namchunguliaga Sana Sana...!
 
Ili uitwe dada wa mjini unatakiwa uvae vile hata kama mwili hautaki,mie huwa nikiona watu typu ile na mavazi yasiyoendana nao najisemea kimoyo moyo anabemenda nguo huyu.

Anyway ukimshauri mwenye hela zake mujini kinyume na anavyopenda jiandae kuwekwa kando na urafiki kwisha.

Zoezi la insta tu lile,nyuma ya keyboard anapiga misosi kama kawa.
Mie nachekaga na Yale mazoezi yake...alafu sijui hanaga mshauri kuhusu mavazi?dah... Au mie nacomplicate Sana? Body Ile uvae mitaiti jaman ya nn?
 
💕💕💕Kuna wanawake ukimuuliza anakuambia ndoto zangu ni kuolewa ndo yanatokea hayo Sasa..mradi na ww uitwe mke wa fulani..hapana aisee
Hahaha kuna mmoja aliniambia yeye shida yake kubwa ni adress! Aitwe Mrs BAK ! Sasa hao ndio wale wanakufa na tai shingoni ili tu aonekane nae ameolewa! Sasa mume wa open kitchen wako kny ile ile nyumba ya former hazband,hivi kuna heshima kweli!
 
Kwani Prishaz umri wa viserengeti unaanzia na kuishia miaka mingapi!? 😉😉
Umri wa kiserengeti utategemea umri wa mwanamke, kwa hivyo kama mwanamke ana 34yrs, mwanaume akawa kny 20's tayari hapo ameshafaa kuchezea timu ya under 17. Huoni hapo ni tatizo kubwa jamani BAK ? Raha ya mapenzi msipishane sana bwana
 
Hahaha kuna mmoja aliniambia yeye shida yake kubwa ni adress! Aitwe Mrs BAK ! Sasa hao ndio wale wanakufa na tai shingoni ili tu aonekane nae ameolewa! Sasa mume wa open kitchen wako kny ile ile nyumba ya former hazband,hivi kuna heshima kweli!

Kwamba mume aliyemuacha anakaa nyumba hio hio na dada kaenda kuolewa na katoto nyumba hio hio na mtoto wao au sijaelewa

Mjini kuna mambo kweli kweli
 
Nimecheka Sana Dah
Numby wewe ni chizi Sana lols
 
Huyu open kitchen sidhani ka kaolewa kiupendo nadhani anamkomoa mumewe aliyeoa dada mwingine mrembo kuliko yeye. Na inakuwaje dada mzima anaolewa na katoto ka tisini na kitu karibia 2000 naona hapo hamna ndoa ni Kama mama kaoa mwanawe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…