Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Watu huwa hawaangalii vitu vingine, wanaweza tu vutiwa na sura au vitu visivo na mantinki.
Mkikutana watu mnaoelewana na kushare mawazo, maono ni rahisi kudumu na kuvumiliana Hadi uzeeni, tofauti na mtu msio share naye interest ni rahisi kumchukia na kuona mapungufu yake na ugonvi daily.
 
Petit mwana kulitaka mwana kulipata toka kwa kajala mpaka kwa esma kisha kwa mdada mmoja akamuoa na kumuacha ghafla akamrudia esma. Umario shida sana.

Maisha waliyopitia zamani yanawawinda mno wanajitahidi kuyasahau kwa kufanya kufulu ila bado hayafutiki.

Naona mondi hajasoma mchezo dar saiv haipo mikononi mwao(mkuu wa mkoa wa saiv si wa mchezo),angecheza kwa stepu. Zile hela walizomwaga wakianza daiwa kodi watalalamika

chereko chereko wakiweka zile zao halisi nzuri sana. Unashuhudia uhalisia unaona mpunga unavyofinywa kihalali

Nyumbani kuna benten wa mama yake(nae busy kukimbizana na ujana) yaan huku moto kule moto.
 
Unalosema ni kweli depression inatesa watu wengi Kama ukiruhusu ikae kwa wingi na hasa uruhusu jamii ikuamulie baadhi ya Mambo, na Hali huwa mbaya zaidi kwa mastar maana huishi ili waonekane wako vizuri kumbe Wana Hali mbaya, mfano Vanessa mdee Hadi akasema ukweli wa Hali yake.
Diamond mwenyewe ingawa anabadilisha wanawake na kuzalilisha juu, but he is not happy hata ukimuona usoni waweza jua Kuna vitu haviko sawa na anapitia, ni vile tu hufanya Ila ku wa fool ma fans wake.
Depression ni mbaya ukifika usiku hulali hata kidogo wallah
 
Siamini umefungua uzi upate taarifa za kuvinjika ndoa ya mtu usie mjua...KAZI UNAYO KWELI...?. Fanya ata kuwa unadeki chumba chako TU.mambo ya huyu Mama yanakuhusu Nini?
 
Heeeeh huyu mwanaume kamtoa wapi? Mbna ana vigezo vyote vya kuitwa mwanaume boraaah. Lol mbutananga kaokota dodo chini ya mnazi.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji16][emoji16][emoji28][emoji28][emoji16][emoji122]
 
Ogopa sana wanawake kwa wanaume wanaopost post huko Instagram na kujifanya oooh...ni rules model. Usishangae sembe nayo wanauza. Vipi yule mwingine wa fursa,na mumewe waliachiwa?
 
Hawa mastar uchwara kazi yao nikubadilishana na kushare tu wanaume na wanawake, Sasa huyo petit huyo dada aliye mwacha ndo waliendana Sasa matokeo yake esma kamuacha kaenda kuolewa na mwanaume mwingine, na dai kamponda kuwa hakuwa na kitu.
Hao kina Diamond hzo elfu kumi kumi za show off hazifiki hata milion mbili, na makondo no longer in power Ile biashara ya madawa sijui itakuwaje?
 
Tofautisha kulipiza na kuendelea na maisha Sasa huyo open mzee anatokaje na kiben ten, angetafta mwanaume anayemzidi ex waako viwango Sasa huyu anatoka na mtoto wa kumzaa si mjinga sasa
Shida ni kwamba hakuna mzee anataka kuoa demu mzee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!! RIP Mengi alionesha mfano wa wazi.

Wazee wanataka kula vitoto vibichi sio madungaembe, kwahio salama yenu ni kuwaoa vibenten au vijana wadogo msingi kiuno ambao wanapenda slope za kipuuzi na ndio ambao wapo available.
 
kama kuumia huwa tunaumia wote....sema huwa watu wanajikaza tu...lakini kidonda huwa hakiponi mapema...kupenda wakati mwingine huacha majeraha makubwa kwenye mioyo ya watu....am a victim.....
Uko sahihi break up yoyote huacha maumivu makali moyoni kwa wahusika wote na inachukua mda ku recover hao wanaokimbilia mahusiano mapya huwa wanafikiria ka njia ya kujiponyesha kumbe wapi, nikutesa tu mtu mpya ili kupunguza maumivu.
 
Ni heshima pale mwanamke atakapo lipiwa mahari bila yeye kuongeza hata senti,bila kulazimisha hio ndoa. Bila kumbeba mume kuanzia mavazi hadi makazi. Huyu jamaa kaoa ila kaenda kuishi nyumba ya mke ambayo ex mume alikua anaishi humo pia.
Huyo kaolewa mwanaume, yasije kujirudia ya uchebe
 
True uswahili unachangia sana. Wanawake wa kiswahili wakiwa na uhakika wa laki kwa wiki au mwezi basi wanakuwa na fujo sana na akili zao zilivyo takataka
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wanapenda shughuli na sherehe ya ndoa wakati kuifanya ndoa idumu hawawezi. Ndio maana wafa maskini kila siku masherehe na hvi ndoa zao rahisi kuvunjika.
 
Ni heshima pale mwanamke atakapo lipiwa mahari bila yeye kuongeza hata senti,bila kulazimisha hio ndoa. Bila kumbeba mume kuanzia mavazi hadi makazi. Huyu jamaa kaoa ila kaenda kuishi nyumba ya mke ambayo ex mume alikua anaishi humo pia.
Kama namuona mida hii na pensi yake yupo sebuleni na remote ana angalia TV.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaaaa nilivoona huyo mwanaume na amepokelewa ukweni kwa upendo nikasoma huyu mbutananga kiboko, sijui alimtolea wapi mwanaume mzuri hivi na mpole.
Yaan hapana kwakweli saivi cheusi mangla atulie tyuuuh na ndoa yake, na aache ule ukichaa wake khaaaah.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahyo kwa Sasa watu wanatumia ule msemo wa gari bovu linavutwa na gari jipya lenye engine nzuri sio[emoji23][emoji23]
 
Yaan hapana kwakweli saivi cheusi mangla atulie tyuuuh na ndoa yake, na aache ule ukichaa wake khaaaah.
Naona katulia na kapendeza mwenyewe I think kipindi Cha nyuma alikuwa na stress
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…