Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

[emoji23][emoji23][emoji23]kwahyo kwa Sasa watu wanatumia ule msemo wa gari bovu linavutwa na gari jipya lenye engine nzuri sio[emoji23][emoji23]
Eeh gari nzima huvuta mbovu bana,,, we uliskia wapi gari bovu likavuta bovu lenziwe aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚!!!

Sahivi mke akiwa mmbovu unavuta chombo zaidi yake....nae mke akiamua kujibu mapigo anachukua damu changa πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ mambo yanakwenda bara bara
 
Yaan hapana kwakweli saivi cheusi mangla atulie tyuuuh na ndoa yake, na aache ule ukichaa wake khaaaah.
Yeye akitulia ndoa inaanza kucharuka... Si amefunga ndoa ya mzaha na kabenten
 
🀣 🀣 🀣 🀣 🀣 🀣
Kama namuona mida hii na pensi yake yupo sebuleni na remote ana angalia TV.
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Hahaaa Ni mwendo wa tit for tat ngoma droo, Ila mwanamke kuishi na kiben ten tabu, maana hakina upendo kimefata masilahi hapo katarudi kwa kijana mwenziwe, ndoa za mabinti wadogo na wazee ni rahisi kudumu kuliko za shuga Mami na kiben ten
 
Aaaah yule mzee nae alichukua undersize kiukweli. Mzee wa miaka 75 utake kupambana na mdada mbichi kama Kylin, mimi mwenyewe hapa akinipea kuna muda nitaomba poo nikusanye sukari ya kurejea ulingoni.

Sasa mzee akajikuta cowboy akakwea farasi kijana akavunjwa kiuno....
 
[emoji23][emoji23][emoji23] angeoa hata mtu wa 50 hivi Sasa kylin Alisha zoea kudanga na kukutana na size tofauti Sasa mzee kumtulixa ilikuwa ngumu, mwishowe kapata pressure, maana mengi alikuwa kibabu Sana, so kylin alishajiandaa na ujane wa ujana
 
Umeongea kwa msisitizo sana [emoji1787][emoji1787] piga spana
 
Hahaaa Ni mwendo wa tit for tat ngoma droo, Ila mwanamke kuishi na kiben ten tabu, maana hakina upendo kimefata masilahi hapo katarudi kwa kijana mwenziwe, ndoa za mabinti wadogo na wazee ni rahisi kudumu kuliko za shuga Mami na kiben ten
Mwanamke akiishi na mwanaume baada ya muda fulani anamzoea na wenge linaisha anatulia.

Ila mwanaume ni ngumu siku zinavyozidi kwenda pressure ya kutaka uhuru kupata chuma cha umri chini yake inaanza kuongezeka..... Mwishowe anatoka tu hakuna namna.
 
Na ndio kitu huwa kinatokea maana kumwambia mwanaume ahamie kwako ingawa atatulia Ila anakuwa na lake jambo
 
Na ndio kitu huwa kinatokea maana kumwambia mwanaume ahamie kwako ingawa atatulia Ila anakuwa na lake jambo
Imagine kaja hana hata salio la mpesa account hata hakumbuki password.

Then anakuja unampendezesha, anampa matunzo, anamjaza salio la account na kumpa ujuzi dogo akiwa imara shughuli inaishia hapo hapo.....
 
Na mwanaume kumsaidia kwa wema anaona dharau anatafta namna akupige tukio ahamie kwa mwanamke mwingine
 
Ile noma mzee πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
 
Maisha ya showoff yanawacost mno mastaa wengi
 
Na mwanaume kumsaidia kwa wema anaona dharau anatafta namna akupige tukio ahamie kwa mwanamke mwingine
Of course ndio maana wanasema kazi ya mwanamke kwa mwanaume sio kumlea ni kumsaidia kusimama na kuamsha potential zake....

Sasa hawa wanawake wa aina hii unakuta anataka kumiliki huyu mwanaume kwa kununua uhuru wake na muda wake.

Atampa usafiri na sehemu ya kuishi kisha atamwambia ukithubutu kuniacha nakunyang'anya. Anampangia pa kwenda, akijiskia anakagua simu yake yaani ni full kumtreat kama mtoto hapo ndipo bwana mdogo anaona ngoja nitafute binti mdogo ambae nitaweza muweka katika himaya yangu mimi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…