Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Upendo wa Open Kitchen kafunga ndoa. Je, nini kilimpata yule mumewe wa mwanzo?

Uko sahihi break up yoyote huacha maumivu makali moyoni kwa wahusika wote na inachukua mda ku recover hao wanaokimbilia mahusiano mapya huwa wanafikiria ka njia ya kujiponyesha kumbe wapi, nikutesa tu mtu mpya ili kupunguza maumivu.
Kiukweli kutoka moyoni.
Nakupenda.
Uko very realistic.
Uko tu na namna yako ya kusimamia unachokiamini.
Keep that aiseeh.
Sijui ilishawahi kukwambia? If yes I'm glad.
If no, then I just did.
 
Jimama kama lile lijuaj linaangalia sana porn.linataka nawew ufanye kama kwenye porn.sasa na ubonge ule na rang ile ndugu yangu unaweza kufa
Rangi haihamasishi. Hata ukisema ufanye usanii, utafanya muda gani wakati mwingine vitu vinaweza kugoma
 
Yaani vijana mnashindwaje kuvumilia vitu vidogo vya kutukanwa na Sponsor wakati usiku unampa mpaka anaheuka?
 
Yaani vijana mnashindwaje kuvumilia vitu vidogo vya kutukanwa na Sponsor wakati usiku unampa mpaka anaheuka?
Huwezi kuwa na consistency ya tendo kama mwenza humzimii kihivyo....sasa dude kama lile ukishakual week 1 tu hutaman tena....ndomana vijana wanakunywa snaa kvant ili kuondoa msongo wa mawazo anapokua tendoni
 
Back
Top Bottom