Valencia_UPV
JF-Expert Member
- Mar 31, 2016
- 6,974
- 8,750
Mlezi wa wana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
MmhMlezi wa wana
Hadi nimepaliwa 😂😂😂😂😂Kama namuona mida hii na pensi yake yupo sebuleni na remote ana angalia TV.
😀😀😀😀😀
Ni Huzuni sanaKama namuona mida hii na pensi yake yupo sebuleni na remote ana angalia TV.
😀😀😀😀😀
Kiukweli kutoka moyoni.Uko sahihi break up yoyote huacha maumivu makali moyoni kwa wahusika wote na inachukua mda ku recover hao wanaokimbilia mahusiano mapya huwa wanafikiria ka njia ya kujiponyesha kumbe wapi, nikutesa tu mtu mpya ili kupunguza maumivu.
Thanks my dear snowhite for appreciating I love you pia my dear.Kiukweli kutoka moyoni.
Nakupenda.
Uko very realistic.
Uko tu na namna yako ya kusimamia unachokiamini.
Keep that aiseeh.
Sijui ilishawahi kukwambia? If yes I'm glad.
If no, then I just did.
Honoured dear!!Thanks my dear snowhite for appreciating I love you pia my dear.
Dadako hajaolewa tena? 😁Honoured dear!!
❤
SimtankDadako hajaolewa tena? 😁
Waoaji wamechoka kupelekeshwaDadako hajaolewa tena? 😁
Si tulikibaliana mtaka cha uvunguni abinue kitanda, inabidi tu wachukue na kupeleka oda za mchichaWaoaji wamechoka kupelekeshwa
Kuoa jimama ujipangeSi tulikibaliana mtaka cha uvunguni abinue kitanda, inabidi tu wachukue na kupeleka oda za mchicha
Makonzi na mitama haiepukikiKuoa jimama ujipange
Jimama kama lile lijuaj linaangalia sana porn.linataka nawew ufanye kama kwenye porn.sasa na ubonge ule na rang ile ndugu yangu unaweza kufaKuoa jimama ujipange
Rangi haihamasishi. Hata ukisema ufanye usanii, utafanya muda gani wakati mwingine vitu vinaweza kugomaJimama kama lile lijuaj linaangalia sana porn.linataka nawew ufanye kama kwenye porn.sasa na ubonge ule na rang ile ndugu yangu unaweza kufa
Huwezi kuwa na consistency ya tendo kama mwenza humzimii kihivyo....sasa dude kama lile ukishakual week 1 tu hutaman tena....ndomana vijana wanakunywa snaa kvant ili kuondoa msongo wa mawazo anapokua tendoniYaani vijana mnashindwaje kuvumilia vitu vidogo vya kutukanwa na Sponsor wakati usiku unampa mpaka anaheuka?