Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Subiri raundi ya pili. Ya kwanza ilikuwa Kanda ya Ziwa. Iliisha kwa mafanikio na inayofuata itaanza na kuisha kwa mafanikio. Stay tuned!Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Wiki moja tu chaliiiTatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Hehee
Mafanikio yapi? Yale maigizo nayo ni maganikio?Subiri raundi ya pili. Ya kwanza ilikuwa Kanda ya Ziwa. Iliisha kwa mafanikio na inayofuata itaanza na kuisha kwa mafanikio. Stay tuned!
Heee.......anything is Possible maana tangu jamaa aje mwingine haonekani..Makonda ndiye atakayemrithi Dr.Mpango.
..Uchaguzi wa 2025 tiketi ya Ccm ni Samia Suluhu na Paul Makonda.
🤣🤣🤣Mzee wa mikokoteni
Ndio kusema na hii project kashafeli?Bashite ni yuleyule
Hata akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar hakuna project aliyoianzisha akafanikiwa kuimaliza
Nchi inakabiliwa na mambo gani sa hv , CCM wote wapo Hanang , na huko unataka umsikie makonda , vyombo vya habar vyote vipo pale , daah watu mna chuki kinyama 😁😁😁 makonda vibe la media analo na hyo ni nyota haizimwi Kwa chuki
Hajamaliza Kuombewa? Akimaliza Maaskofu uchwara ataanz akwa wagangaAkiibuka Mtaanza tena kulia
Now yupo na Ziara kwa Maskofu, na wazee wastaafu akimaliza anapiga Ziara Kanda ya Kaskazini ambapo ndio Mlezi wa Mikoa hiyo.
mwendo ni ule ule ni mpaka Mbwa atapanda 😂
Ila hawara ya mkeo ndio anafaa kuwemo sio?Mafanikio yapi? Yale maigizo nayo ni maganikio?
We hufai kuwa jukwa hili kabisa.
Haha ,Hajamaliza Kuombewa? Akimaliza Maaskofu uchwara ataanz akwa waganga
Acha uongo.....mfumo wa siasa zetu umebebwa na polisi na vile vyombo vingine.Haha ,
Makonda ataisumbua sana Ngome ya vyama vya watoa Taarifa
Watasahau kuishambulia CCM wataishia kupambana na Dab
Mifumo ya Siasa zetu ni anaejua kuongea na kuunda matukio , uongo ndio uonekana mahiri ( Makonda ni fundi Haswa ) anaenda kupambana na watu wa matukio akina Lissu
Mapema Makonda 2 Watoa Taarifa 0
Mapema mnoNdio kusema na hii project kashafeli?
UjanielewaAcha uongo.....mfumo wa siasa zetu umebebwa na polisi na vile vyombo vingine.
Nje ya hapo ccm hana mvuto wala uwezo wa kushika madaraka Tanzania.
Itabidi mama apewe talaka kama hajapewa mpaka sasa!..Makonda ndiye atakayemrithi Dr.Mpango.
..Uchaguzi wa 2025 tiketi ya Ccm ni Samia Suluhu na Paul Makonda.
Ccm ni watu fulani wa Hovyo mnoo ...Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya
alikuwa na haraka sana ya kuzunguka,alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Kwamba siasa zinataka maneno? Basi ccm isingeogopa Tume huru ya Uchaguzi.Ujanielewa
🤣🤣Itakuwa umemsahau jamaa...
Soon ataibuka na ajenda mpya atarudi kwenye mazungumzo vijiwe vya kahawa...