Katika laws of power, never outshine your master, pia chama kimechaguliwa na kimeweka makada wake serikalini, kwa nini asiulizane nao huko? Anaanza kuwaita barabarani as if ni strangers kwa chama!?Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Nadhani utakuwa unaishi na mme mkubwa wa Mama yako...Mbona kichwa chako kimejaa uwalo...Jitafakari nikirudi narudi n matusi ya kusababisha penalty na red Card Juu.Jadil hoja wewe mpuuzi acha kubwabwaja. Kama hoja imekuzidi akili nenda Facebook huko ukajidili ngono.
Huyu Makonda makalio makubwa alikuja kasi sana kama moto wa kifuu huku akiongea upuuzi usiolisaidia taifa. Ndiyo msingi wa hoja ya mleta mada
Ya kuruka na ungo?Upepo wa hanang umepoteza harakati,kik za watu wengi
Ila mwenezi lazima atakuwa anakuja na episode mpya [emoji41]
Ova
Ndomana nikakuzaa wewe!Peleka usenge huko na bichwa lako km kocha wa yanga
Katika laws of power, never outshine your master, pia chama kimechaguliwa na kimeweka makada wake serikalini, kwa nini asiulizane nao huko? Anaanza kuwaita barabarani as if ni strangers kwa chama!?
Bunge kazi yake ni kumfr.. A mama yako?Haya mambo hayalisadii taifa. Hapa ni sawa na kumpatia samaki mtu mwenye njaa.
Kumpa mtu gari ama bdaboda aliyedhulmiwa siyo suluhisho la dhulma nchini. Kama kiongozi alipaswa kutengeneza sheria/mifumo, kanuni na taratibu za kuzuia dhulma nchini kote. Alichokifanya ktk matukio haya ni kutafuta kiki tu
Usione Kobe kainama!
🤣😂Na ngoma ikivuma sana je ? [emoji2369][emoji2369]
Makonda hajakata upepo hisipokuwa hajawai kuwa na issue yoyote ya maana. Kinachomuweka kwenye ramani ni umairi na uwezo wake mkubwa wa kujipendekeza na kujipenyeza kwa viongozi wa juu. Ni mtu wa matukio na mabavu, harakati zake za siasa za kukomoana pamoja na propaganda za chawa wake ndio mtaji wake. Ni mwanasiasa anaetumia hila na mabavu zaidi kuliko mipango na mikakati.Tatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
CCM iko imara na Mama anaweza. Wewe bwabwaja na ubwabwajike. Kazi iendelee.Watu mnasahau CCM ni Mwenyekiti siyo hao wengine. Huyo Mwanamke amepwaya na hata amlete nani kwenye hizo nafasi za chama bado CCM itaboronga tu.
Namuonea sana huruma kaka yangu ChongoloTatizo ni kuwa hana hoja nimemskiliza kwenye mikutano alofanya alikuwa na haraka sana ya kuzunguka, alikuwa hana hoja zaidi ya kuwaonyesha "adui" zake kuwa nimerudi dining room! Hakuwa na hoja wala mikakati yeyote.
Upepo umekata
Anajipigia fedha za ccmWala hatujui anafanya nini sasa[emoji23]
Nawashangaa wanao mkenulia menoBashite ni yuleyule
Hata akiwa Mkuu wa mkoa wa Dar hakuna project aliyoianzisha akafanikiwa kuimaliza
Huna akiliJifariji
Utakuwa upo koromije weweChadomo mnatabu