Kwan Kuna shida gani? Si tulishacheza nao hao na beki hizi hizi mnazozidharau na tukawafunga?Vipi kuhusu team unazopambana nazo Champions League mkuu
Mchezaj gani katemwa na Simba & Yanga kageuka lulu AS Vita?Ulitaka tumsajili mchezaji wa viwango gani? Hizo clud ulizozitaja unfotunately zipo rank ya juu kuliko hata Yanga. Unaongelea AS Vita ambayo mchezaji akitemwa simba au yanga kwao anageuka lulu? Kiwango cha AS vita kina utofauti gani na simba?
Miaka mitatu ni mingi Sana kwa form mchezaj, Wawa huyu sio Wawa yuleKwan Kuna shida gani? Si tulishacheza nao hao na beki hizi hizi mnazozidharau na tukawafunga?
Msijidanganye kuwa Yanga wana beki Bora, wakicheza kimataifa ndiyo mtaona kipigo mtakachokutana nacho.
Hakika mkuu, yaani waoga utadhani zile timu zinacheza ligi ya sayari nyingine.kama mnaogopa kiasi hicho champions league tafdhali msihangaike kugombania ubingwa wa vpl wenzenu kina manula washazoea hizo mechi nyie kila siku kujazana uwoga tu wa afrika kaeni hapahapa mgombanie kombe la mapinduzi
Yanga; ShishimbiMchezaj gani katemwa na Simba & Yanga kageuka lulu AS Vita?
Kwa hiyo unataka tumlete Nani ambaye ana sumaku ya mpira? Timu yetu iko vizuri Sana, tuko tayari kwa mapambanoMiaka mitatu ni mingi Sana kwa form mchezaj, Wawa huyu sio Wawa yule
huwa inanishangaza kila mmoja wao anajaribu kujaza hofu hivi utawajaza hofu kina manula zimbwe boko?wale hawaogopi tena labda kawajaze hofu kina mwamnyeto,wanapambana kwenda michezo ya caf wanadhani kule watakutana na kina ihefuHakika mkuu, yaani waoga utadhani zile timu zinacheza ligi ya sayari nyingine.
Simba Ni moja ya timu kubwa barani Afrika na hatumwogopi yeyote!
Wapi walio juu? Simba kwa Sasa Ni kuangalia kimataifa Zaidi na siyo kuogopa yeyote.Hatuogopi tunazungumzia ukweli mkuu, wenzetu wapo juu
sasa bro si ndo tumewashauri msihangaike na nafasi nne za juu za ligi ya bongo maana huko afrika mtakutana tu na hao watu atleast namungo wanaume hawaogopi nyie kila siku mkisikia al ahly mnajiharishia na kuanza kututisha na sisiHatuogopi tunazungumzia ukweli mkuu, wenzetu wapo juu
Kiufupi yanga hii level yake Ni vpl tu, wakienda kimataifa hawawezi kutoboa.huwa inanishangaza kila mmoja wao anajaribu kujaza hofu hivi utawajaza hofu kina manula zimbwe boko?wale hawaogopi tena labda kawajaze hofu kina mwamnyeto,wanapambana kwenda michezo ya caf wanadhani kule watakutana na kina ihefu
Alifanya trial ipi? Mbona zana Coulibaly alienda moja kwa moja first 11?Shishimbi hakutemwa, mkataba wake uliisha... Shishimbi aliondoka Yanga wakiwa Bado wanamuitaji lakn kule AS Vita alipitia kwanza kwenye trial na sio first 11 ya Vita
Yanga walikuwa hawana matumizi nae, wangemuhitaji angebaki, hao wachezaji unaowasifia wa as vita wanatamani kuchezea simba na yanga. Hizi timu ni kubwa na zina maslah kiliko hiyo. Sema mkijitoa ufahamu chochote kwenu mnalopoka.Shishimbi hakutemwa, mkataba wake uliisha... Shishimbi aliondoka Yanga wakiwa Bado wanamuitaji lakn kule AS Vita alipitia kwanza kwenye trial na sio first 11 ya Vita
Umeandika kujifurahisha au umemaanisha?Yanga wamefungwa magoli machache kuliko Simba kwenye vpl huku Yanga amecheza game nyingi
Yanga wamemsajili Dickson Job
Yanga inawachezajj experience sana Saido, Abdul Razak, Mukoko, Tuisila hao ni more experience bro... Huwezi linganisha na wachezaji wa zimbambwe na zambiasasa bro si ndo tumewashauri msihangaike na nafasi nne za juu za ligi ya bongo maana huko afrika mtakutana tu na hao watu atleast namungo wanaume hawaogopi nyie kila siku mkisikia al ahly mnajiharishia na kuanza kututisha na sisi
Hao As Vita mnawaogopa bure, Ni timu za kawaida Sana, sema psychologically mlishawapa heshima kuzidi uhalisia, timu za Tanzania tatizo zilitumia mda mwingi kupambania ubingwa wa ligi kuu badala ya kufocus kimataifa.Kila la heri kwenu