Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Duh... Mkuu Mbogi, yaani nyie watu wa kitengo mmetapakaa hadi humu, yaani kumbe unayomatokeo!. Nimepata pressure nimeshindwa kuendelea....Nilidhani wewe ni Mzalendo kumbe kweli wewe ni msaka fursa, na hapa nahisi umeamua kuonesha uhalisia wa sura yako baada ya kunusa kuwa like jambo lako limeshabutuliwa.
Huu upuuzi ni jambo la kushangaza.Je ni lazima TAKUKURU waagizwe kufanya uchunguzi? Wasipo agizwa maana yake ndio imetoka?
Sijajua hii taasisi inafanya vipi kazi ila no mambo ya kushangaza sana. Daily utasikia waziri aagiza TAKUKURU ifanye uchunguzi mara Mkuu wa mkoa aagiza TAKUKURU sasa je wao kama wao ni lipi wanacho kifanya ofisini? View attachment 2350563
P. hilo la "jambo lako" lilikuwa chomekeo tu! Lakini nikuulize kiuhalisia, hivi wewe kweli kwa ukweloli wako wa nafsi milioni 11 ni sawa kwa chumba kimoja cha sqm 9?Duh... Mkuu Mbogi, yaani nyie watu wa kitengo mmetapakaa hadi humu, yaani kumbe unayomatokeo!. Nimepata pressure nimeshindwa kuendelea....
Trillion 1.5 iwapi?!Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto
Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli
Hapa tunazungumzia kibandaTrillion 1.5 iwapi?!
Shujaa my foot!Shujaa
Inaonekana mtoa Mada hajawahi kujenga au alijenga miaka ya '90 wakati Bati inauzwa 1,250/-
Bei ya Bati 28G saivi ni 43,000 - 47,000
Bei ya Tiles ya 50x50 ni 39,000
Mlango huo unaweza kufika 850,000 pamoja na frame
Ikumbukwe hiyo kazi amefanya Mkandarasi, naye ameajiri na analipa watu Mishahara kwahiyo lazima aweke Faidi ambayo inaweza kuwa 10% ya gharama za Mradi.
Ingekuwa kinajengwa Kwa njia ya Force account walau gharama yake ingeshuka hadi 6.5M hivi kutokana na hadhi ya kibanda chenyewe.
Ila hakifiki 11m
Wala sioni shida hapo kwanza wamekula kidogo sana, sio kwamba wamekula zote milion 11 maana wamejenga kitu hata kama kidogo. Huyo unayemtaka aje alipiga 1.5 Trillion ! Huoni tofauti ya kuumiza na kuua hapo ??Hakika tumbua tumbua ambayo ingetokea pale Tabora Uyui isingekuwa ya kitoto
Mungu amlaze Peponi Shujaa Magufuli
Kwahiyo tu-justify upigaji kisa inasemekana zilipigwa?Wala sioni shida hapo kwanza wamekula kidogo sana, sio kwamba wamekula zote milion 11 maana wamejenga kitu hata kama kidogo. Huyo unayemtaka aje alipiga 1.5 Trillion ! Huoni tofauti ya kuumiza na kuua hapo ??
Heee, kumbe dina umejaaliwa eeh!Huo mlango mim sipiti
Msihi asiwaache wakala sana jamani.Pongezi kwa rais Samia kwa kazi nzuri ya ujenzi wa taifa.